Wanawake warembo sio kwa ajili ya kuoa/kuolewa

Wanawake warembo sio kwa ajili ya kuoa/kuolewa

Kuna ukweli.

Lakini kuna ukweli mwingine pia kuwa wasio na mvuto huwa ni rahisi kuchepuka na mtu yeyote, kwa sababu wengi wao huwa hawajiamini. Hivyo mtu yeyote atakapomtongoza huwa ni kama mechanism ya kujiongezea self esteem.

So, kupata mwanamke anayekufaa ni kama bahati nasibu. Chill. Michezo hii haiitaji hasira.
 
Shida Inakuja Hv Umeoa Cutty Girl ,, Anavokuwa Anatongozwa Kila Kona Kila Siku Anaota Kiburi Na Ana Anza Kukudhalau Ww Mmewe Na Kuna Kua Na Mwanya Mkubwa Wa Kukuzalia Mtoto Ambae C Wako
 
Sio kweli na huo ni mtizamo wa mwanadamu huyo na si mpango wa mungu. Mpango wa mungu kila binti aolewe lazima ila wanaruhusu shetani kujiinua wanaharibikiwa kwa uasherati na uzinzi, mwanamke akikaa kwenye maadili kuolewa lazima bila kujali ana umbo gani
 
thibitisha ujue TAFITI HUPINGWA KWA TAFITI

Wazungu wanasema No research no right to speak


mkuu 'walembo' wengi sana na wanawake 'wazuli wameholewa' mbona !na 'awana' shida wana 'hadabu' tu na ni wife 'matelial' kweli kweli ! miye nina 'lafiki' yangu 'mzul'i tu na 'ameorewa' na anajitambuha mbona
 
Mapambano ni makali mama. Kipato kiduchu. Majukumu mengi. Bila shaka sasa mambo mazuri kwa upande wako.


ni kweli kipato hakikidhi aisee ! hapana bado sijafanya lolote maana hajaleta miznga kabisa hom since wakat ule hahaah anapiga juu kwa juu! ahhah! acha tu ndg
 
ni kweli kipato hakikidhi aisee ! hapana bado sijafanya lolote maana hajaleta miznga kabisa hom since wakat ule hahaah anapiga juu kwa juu! ahhah! acha tu ndg
Heavy duty. Kuwa mvumilivu mambo yatakuwa vema tu. Ipo siku atakutana na uponyaji baada ya tukio la kukoswakoswa na watu wasio julikana.....
 
Heavy duty. Kuwa mvumilivu mambo yatakuwa vema tu. Ipo siku atakutana na uponyaji baada ya tukio la kukoswakoswa na watu wasio julikana.....



hahahaahahahhaah waje jaman hao watu wasiojulikana mbn!
 
Utafiti uliochapishwa katika Jaida la British Journal of Psychology, ulibaini kuwa wanaume huwachukulia wanawake ambao ni warembo kama vyombo vya starehe tu.

Utafiti umeonyesha kuwa wanaume wengi wanapendelea kuwa katika mahusiano ya muda mrefu na wanawake wasiokuwa na mvuto sana ikilinganishwa na wanawake wenye mvuto (warembo).

Baadhi ya sababu kwa nini wanaume wanapendelea kuwa katika mahusiano na wanawake wenye mvuto na warembo badala ya kuwaoa ni pamoja na;

Utafiti uliofanyika hapo awali ulibaini kuwa wanawake wenye mvuto ni rahisi zaidi kutokuwa waaminifu ndani ya mahusiano hasa pale wapenzi wao wanapokuwa hawana mvuto. Wanaume wengi huwa na wasiwasi pale wanapokuwa mbali na wapenzi wao, huwa wanakuwa na maswali mengi

Wanawake wenye mvuto hutafuta umaarufu. Wanaume hupenda wanawake wasiokuwa na mambo mengi, lakini kwa upande wa wanawake warembo inaonekana kuwa wao hujali zaidi muonekano wao na mvuto wao wa nje kuliko walivyo ndani (tabia na mwenendo) hivyo kukosa sifa za kuwa wake bora. Ni vigumu sana kuendana na baadhi ya matakwa ya wanawake warembo.

Sababu nyingine ni kuwa, wanawake wenye mvuto na warembo hutajwa kuwa ghali (inahitaji gharama kubwa kummudu mwanamke wa aina hii).

Hili linaangalia zaidi aina yao ya maisha. Wanawake hawa hupendelea kuvaa nguo za gharama, kuishi maisha ya starehe na kufanya vitu ambavyo vinahitaji gharama kubwa, hivyo wao hupendelea kuwa na wanaume ambao wana kipato cha kutosha kuwahudumia mahitaji yao yote.

TOA MAONI YAKO

Nimeitoa facebook
Hilo jiwe limenipata
 
Mwanamke matunzo. Urembo unakuja tu wenyewe. Wanaume wengi wanapenda kutafuniwa Ndio maana wanakuja na propaganda Kama hizi. Mpe matunzo yote anayostahiki mwanamke wako uone Kama hajawa mrembo.
Halafu wengine wanakuja kumtamani
 
Back
Top Bottom