Wanawake warembo ndio wateja wakubwa wa waganga ukilinganisha na wale wakawaida

Nothing last forever. Dawa zina expire baada ya mwezi ili ukamfaidishe tena mganga kwa mikuku, mimbuzi na mijifedha

Ah si bora uchague Mungu awe tumaini lako..mana yeye hanaga expire date...
 
ndio ukweli wanawake ni washirikina kuliko wanaume, na waganga wengi wa kienyeji ni wanaume kuliko wanawake.
 
Mmmmh Bujibuji ,sasa kwa waganga tukafate nini??

Wakati unasema tunagombea mabwana

Hao mabwana ndiyo wanatugombea sisi,Sema hawaonyeshi hadharani..hahaa
 
Last edited by a moderator:
Reactions: prs

Well said bro
 
basi na huyo aliyewaona huko kwa waganga naye alikuwa na yake huko...
 
watawapata wengi sana hawa watu,

na mpaka siku hizi waganga wapo mpaka huku kwenye social networks kama jf..

jihadharini sana mnapoleta nyuzi zenu za matatizo katika family and relationships.

mnachorwa tu, at the end mnatafutwa pm kwa lugha nzuri sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…