Wanawake warembo ndio wateja wakubwa wa waganga ukilinganisha na wale wakawaida

Nothing last forever. Dawa zina expire baada ya mwezi ili ukamfaidishe tena mganga kwa mikuku, mimbuzi na mijifedha

Ah si bora uchague Mungu awe tumaini lako..mana yeye hanaga expire date...
 
ndio ukweli wanawake ni washirikina kuliko wanaume, na waganga wengi wa kienyeji ni wanaume kuliko wanawake.
 
Mmmmh Bujibuji ,sasa kwa waganga tukafate nini??

Wakati unasema tunagombea mabwana ;)

Hao mabwana ndiyo wanatugombea sisi,Sema hawaonyeshi hadharani..hahaa
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: prs
mh sina uwakika sana na hilo.lakin mi nahisi labda tatizo nikwamba wanakuwa wameutumia vibaya uzuri wao kwa kubadilisha wanaume. hali inayowapelekea kuchuja na kupoteza mvuto.sasa ikifika kipindi ambacho wanaitaji ndoa au hata mpenzi wa kudumu wanatafuta njia itakayo wafanya waludishe mvuto wao..

Well said bro
 
basi na huyo aliyewaona huko kwa waganga naye alikuwa na yake huko...
 
watawapata wengi sana hawa watu,

na mpaka siku hizi waganga wapo mpaka huku kwenye social networks kama jf..

jihadharini sana mnapoleta nyuzi zenu za matatizo katika family and relationships.

mnachorwa tu, at the end mnatafutwa pm kwa lugha nzuri sana!!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom