Samahani lazizi, mkalia nyongo. Nitakuja kukubusu mwaaaa shavu la kulia na kushoto.
Sio wanawake wafupi tu hata wanaume wafupi wanaongea kama wametiwa ndimu vimbele front ka nini
Mtoto mzuri hatali88 lazima kumkonga na maneno mazuri ili asuzike moyo wake. Awapo kwenye mojonzi unambembeleza taratibu.
Huyu bwana anahangaika kama bisi kikaangoni...kila mara kuweka threads za ajabu ajabu!!!
hivi MTU mfupi ni kuanzia cm ngapi?
Vifupi nyie Matata sanaWafupi ukorofi wetu nini??@Mzabzab
kuanzia cm 160 kushuka chini.
kweli bwana tall ladies ata mie napenda tena nataka yule akivaa high heels anipite kidogo urefu. that feeling ya kana kwamba she dominating me full burudaniiii.
alafu awe anavaa dresses na anabana belt kiunono loh...utamtaka.
last but not least warefu full upole. wafupi wakorofi sana.

Salawe kwetu Solwa kwetu