Salawe kwetu Solwa kwetu
Mkuu wafupi nao umeshawahi kujaribu,i wish you could try yourself and see how its going down!Mimi napenda watoto warefu 5.8ft na kuendelea.
Huwa nafurahia sana kuwa mwanamke mrefu, maana hata ukimkunja anakujika vizuri. Halafu sasa itokee mmetoka nae out kapiga pamba za ukweli dah msukuma mimi raha mpaka kwenye nywele.
Sipendi tipwa tipwa, sipendi wenye makalio makubwa.
Napenda toto inayojua kutunza nywele. Mimi msukuma mimi najisikia kweli na huyo mtoto anakuwa malkia kwangu.
Kaka masharti magumu kaka. Na ukizingatia watu hapa jamvini wananipenda walinipatia ushauri.
Mimi napenda watoto warefu 5.8ft na kuendelea.
Huwa nafurahia sana kuwa mwanamke mrefu, maana hata ukimkunja anakujika vizuri. Halafu sasa itokee mmetoka nae out kapiga pamba za ukweli dah msukuma mimi raha mpaka kwenye nywele.
Sipendi tipwa tipwa, sipendi wenye makalio makubwa.
Napenda toto inayojua kutunza nywele. Mimi msukuma mimi najisikia kweli na huyo mtoto anakuwa malkia kwangu.
Sijawahi kumuona binti mfupi kapendeza hata avae sare na binti mrefu
Hahaaa haya masihara sasa.....
Kama huna nywere basi sitapata raha.
Wafupi sana tu. Wanaboa hao.
Mimi napenda watoto warefu 5.8ft na kuendelea.
Huwa nafurahia sana kuwa mwanamke mrefu, maana hata ukimkunja anakujika vizuri. Halafu sasa itokee mmetoka nae out kapiga pamba za ukweli dah msukuma mimi raha mpaka kwenye nywele.
Sipendi tipwa tipwa, sipendi wenye makalio makubwa.
Napenda toto inayojua kutunza nywele. Mimi msukuma mimi najisikia kweli na huyo mtoto anakuwa malkia kwangu.
msukuma wa wapi wewe ?
Magu
Kwimba
Ntuzu
Shy
Geita...
Huwa mnatupa shida sana tuliooa kwa mada kama hizi...Kwa hiyo tufanyeje na sisi tuipate hiyo bahati. Tuchepuke????
Samahani mrembo mzuri.
Tatzo la wanawake wafupi wanaongea sana muwapo out,but nimekuja kujua baadae sana kua hiyo ni asili yako kwasababu hawajiamini so hufanya vile ili nao waonekane kama wenzao.