Wanawake Warefu (Tall Women)

Dada wewe sio mrefu, my girlfriend is 6.2 I am 5.11, I feel so proud kum win cause lesser men felt intimidated by the height difference
I walk around with her like a king..
Nimeongezeka I'm 5ft 10 1/2 inches.
Good for you I wish I was 6'5.
Uko vizuri mkuu. Your confidence is admirable.
 
Mm mwanamke wangu ana urefu kama wako,yaan kanizid mbali sana.....sjui kanipendea nn? Ila kwa kweli kumkiss mwanamke mrefu mkiwa upright is very tiresome for me,namwàmbiaga plz lala kitandani tu bby coz it tires to stretch my neck for the kiss.....pia tukitembea yy ndio huvuta attention sana ya watu....but I love her so much
alale ndiyo umkiss haa haa, na ukiwa huna nguvu unapokea kichapo haswaaaa
 
Mm mwanamke wangu ana urefu kama wako,yaan kanizid mbali sana.....sjui kanipendea nn? Ila kwa kweli kumkiss mwanamke mrefu mkiwa upright is very tiresome for me,namwàmbiaga plz lala kitandani tu bby coz it tires to stretch my neck for the kiss.....pia tukitembea yy ndio huvuta attention sana ya watu....but I love her so much
Lol wewe ni mfupi kiasi gani?
 
Mbona mm nina urefu huo (176cm) lakin sijion kama miongon mwa watu warefu. Mm ni mwnaume na nina urefu exactly the same na ww lakin sijion kuwa mrefu wala sina hisia za kuwa mrefu. Najiona kawaida tu na kuna wakati najihisi mm ni mfupi. Ww kitu gan kinakufanya ujione mrefu, labda ukivaa high heel. I wish ningekuona kwa macho yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake warefu ni adimu mkuu nafikiri ndio sababu hata majeshini urefu wa KE uko chini lakini ME wameweka wa juu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom