My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,602
- 11,886
Kwanini Wewe una mkalipia Bwanako/Mumeo as if unamuendesha ??Angalia PM
Ushapata mume tyr...
Hapo umemjumuisha na Mzazi wako wa like!?
Usirudie kusemea wote.. Tumia baadhi,,,,
BtN sielewi hao waropokaji wanaishi wapi? Au unazungimzia hao wa uswahilini a.k a vigodoro,, kila MTU anapata mwenza kulingana na alivo,,, wewe km ni wa vogodoro utapata vigodoro wenzio, saaasa ukiwa km jirani ukasikia wanaropokeana unatoka baluu kuja kupost huku,, wacha watu maisha hao yaendelee huwezi huo mtaa hama naenda sehemu zilizo staarabika...
Sijapenda kitu kugenerelizeKwanini Wewe una mkalipia Bwanako/Mumeo as if unamuendesha ??
Kama humkalipii kwanini umechukia hiyo Message, imekuuma eeeh ?
Nimeandika pale 'wanawake wenye tabia hiyo'..!Hebu tuambie research yako hao wanawake wa wapi?
MTU alielelewa maisha ya kustaarabika sizani km ataropoka ovyo,,,
Lkn kwakuwa mpango wako ni kuwasema wanawake wote,,, hii kitu nakataaaaaa!!!!!!!
Ila tu ntakushauri toka huko uswahilini uje huku ustaarabuni ubadilishe saikolojia ya akili yako kidogo .
Hahahhahahaha.Siku hizi wanawake wamekuwa niwatu wanafanya vibiashara vyenye kuwapa 10000-50000 kwa siku sasa hiii huwapa Sana confidence wanawake nakuoa kuwa nawao wanaweza kuwa baba ndo maaan sikuiz masingle. Maza wanazid kuongezeka hapa mjini na wengine wanpenda kuwa masingle maza yaaan.
Pia wanaume wengi hapa mjin wamekuja kuwa wavivu mnooo kuliko wanawake so unakuta mwanamke anamvisha anamnunulia pombe na mda mwingine mwanamke ndo anasaidia familia ya mwanaume.
Hiii ni mbaya sana mwanamke kumpita mwanaume kipato niheriii mwanamke akupite umri ila sio kipato bana hawa wanawak hawa wakiwa juuu kifedha.
Bro hata huongeeee nn hakuna kitu atakuelewa . Hiii ilinikuta kipind nipo marioo sitak hela ila nataka mwanamke mwenye hela nilikuwa napigiwa kelele bar daah nakuitwa kaka kuku yaaan😂😂😂😂
Kuna mahala tumeshafeli kama jamii..!Juzi hapo Kaloleni nilipishana na watoto wa kike wa kama form 3 hivi. Huyo mtoto mmoja alikua anaongea na wanafunzi wenzake wa kiume wapo mbalimbali wanaongelea kukopeshana. Yule mtoto alitoa matusi hayo hadi nikabaki naduaa mbaya Zaid kuna mmama alikua naye anapita hapo nikabaki naona aibu mm. Maana alikua anamtukania viungo vyake mwenyewe nilitamani nimshike nimchape ila ndo hvo siku hizi mtoto ni wa mzazi sio jamii..
Yaani kuna wanawake nao hua wanatumia kiungo chao kama tusi eti kutukania mwanaume..kwanini mwakidharau na kukishusha heshima hivo?? Ndio kiungo kilichobarikiwa zaidi maana kinahusika kwenye kukamilisha uumbaji wa Mungu. Pia ndio kinachanganya wanaume..
Wazazi wa sasa sijui wanashindwa vipi kulea watoto zao kama walivyolelewa wao.
Napita, Usiku mwema
Ahsante sana mwalimu wangu, na usingizi ushapaa wooiii..!Mimi ninajua kuwa mwanamke akisimama kwenye nafasi yake amepewa "mamlaka" ya kujenga ndoa yake.
Ukisoma (Mithali 14:1)-
Kila mwanamke aliye na "hekima"hujenga nyumba yake, Bali aliye "mpumbavu" huibomoa kwa mikono yake mwenyewe".
Sidhani kama Ka'generalize soma vizuriSijapenda kitu kugenerelize
Naomba tu nisichokwe, kuna vijitabia kwenye jamii wengine hatuwezi vifumbia macho, wahusika nawasema vizuri tu na wengine humu WENYE VIJITABIA HIVYO NAWAKUMBUSHA TU AISEEH' waachane navyo maana vinaboaa..!!
Heading! Ilivoandikwa kisaSidhani kama Ka'generalize soma vizuri
Heading! Ilivoandikwa kisa
Kasikia kwa wa2 wa3 basi unakuja kukandia huku tena ukionesha ni wengi
Bila aibu na nyie mlio oa mnawasimangia Jf badala ya kurekebishana ndani kwenu huoni kuwa wote tu hamjastaarabika na hamna haja ya uzi,, ila tu kila MTU atapata mwenza kulingana na Hadhi yake.
Kikubwa tu mtoke uswahilini mbadili saikolojia zenu.
pulizi mfanye hata supea ya tairiHapana kilamba mwiko ahsante, nimewahiwa tayari.!