Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,030
- 40,068
1.hela
2.chapaa
3.faranga
4.money
5.dollar
6.pesa
Km huna mkuu hata uwe unajipodoa km wao watakukimbia tu

ongezaa sautii😂 😂 😂 😂 😂 aiseeeInategemea anaongea nini😂😂😂
Kuna hawa visebu sebu🙆🙆🙆
Hapo unamzungumzia Mwanaume wa Dar au Mwanaume Kamili?1. Usafi, wanawake wanapenda mwanaume msafi anaejitunza kuanzia mavazi, anapoishi na anakofania Kazi. Jitahidi fua nguo, uoge vizuri piga mswaki piga pasi. Safisha nyumba yako vizuri nk.
2.Fashion. uwe mtu wa fashion yani unaenda na wakati kwenye mavazi, pangilia pigo zako vizuri utaona watavyojigonga
3. Harufu. Hamna kitu kinamvutia mwanamke kama harufu nzuri. Perfume, deodorant. Body spray nzuri. Mdomo usinuke, pia kwapa na mapumbu yasinuke wala kusiwe na harufu yeyote mbaya inayotoka kwenye mwili wako. Mwanamke akishasikia harufu nzuri basi atakuganda sana
4. Jiamini na uwe na swagg. Uongeaji unavyotembea ukiwa na watu etc huweza kuwajulisha watu kama unajiamini au la..
5. Be unavailable
Wanawake hawawapendi wanaume wanaopatikana muda wote wakihitajika hii inakupunguzia mvuto hivyo jaribu kutojirahisisha kwake na usiwe wa kupatikana kirahisi.
Ukifanya haya basi hautobabaishwa na wanawake.
🤣🤣🤣🤭Inategemea anaongea nini😂😂😂
Kuna hawa visebu sebu🙆🙆🙆
Msingi kiuno nyie endeleeni kutafuta Pesa wenzenu wanatuletea.Hapo unamzungumzia Mwanaume wa Dar au Mwanaume Kamili?
eti fasheni, hiyo ndio nin kwanza?, Yaani Mwanaume Kamili azubae kwenye fasheni na kunukia ili apendwe na wadada aache kufanya kazi kwa bidii na kutafuta hela?
daaah!🤣🤣Msingi kiuno nyie endeleeni kutafuta Pesa wenzenu wanatuletea.
Huyu bishoo anazingua,achana nae.Bado uko katika stage ya kufanya mambo kwa ajili ya kuvutia wanawake?
Money is above of all this nonsense1. Usafi, wanawake wanapenda mwanaume msafi anaejitunza kuanzia mavazi, anapoishi na anakofania Kazi. Jitahidi fua nguo, uoge vizuri piga mswaki piga pasi. Safisha nyumba yako vizuri nk.
2.Fashion. uwe mtu wa fashion yani unaenda na wakati kwenye mavazi, pangilia pigo zako vizuri utaona watavyojigonga
3. Harufu. Hamna kitu kinamvutia mwanamke kama harufu nzuri. Perfume, deodorant. Body spray nzuri. Mdomo usinuke, pia kwapa na mapumbu yasinuke wala kusiwe na harufu yeyote mbaya inayotoka kwenye mwili wako. Mwanamke akishasikia harufu nzuri basi atakuganda sana
4. Jiamini na uwe na swagg. Uongeaji unavyotembea ukiwa na watu etc huweza kuwajulisha watu kama unajiamini au la..
5. Be unavailable
Wanawake hawawapendi wanaume wanaopatikana muda wote wakihitajika hii inakupunguzia mvuto hivyo jaribu kutojirahisisha kwake na usiwe wa kupatikana kirahisi.
Ukifanya haya basi hautobabaishwa na wanawake.
Mimi ni mwanaume ila hapa nakazia.Hapa Msije mkajichangaya,Mwanaume mwongeaji hapendwi
Dogo fanya kazi watakuja wenyewe, ila namba 5 hiyo ni ukweli mtupu,1. Usafi, wanawake wanapenda mwanaume msafi anaejitunza kuanzia mavazi, anapoishi na anakofania Kazi. Jitahidi fua nguo, uoge vizuri piga mswaki piga pasi. Safisha nyumba yako vizuri nk.