antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 49,788
- 130,735
Anatakiwa mtoajiHapa Msije mkajichangaya,Mwanaume mwongeaji hapendwi
Anatakiwa mtoajiHapa Msije mkajichangaya,Mwanaume mwongeaji hapendwi
Hayo ni majukumu ya Mwanamke kwa Mume mwenye Pesa.1. Usafi, wanawake wanapenda mwanaume msafi anaejitunza kuanzia mavazi, anapoishi na anakofania Kazi. Jitahidi fua nguo, uoge vizuri piga mswaki piga pasi. Safisha nyumba yako vizuri nk.
2.Fashion. uwe mtu wa fashion yani unaenda na wakati kwenye mavazi, pangilia pigo zako vizuri utaona watavyojigonga
3. Harufu. Hamna kitu kinamvutia mwanamke kama harufu nzuri. Perfume, deodorant. Body spray nzuri. Mdomo usinuke, pia kwapa na mapumbu yasinuke wala kusiwe na harufu yeyote mbaya inayotoka kwenye mwili wako. Mwanamke akishasikia harufu nzuri basi atakuganda sana
4. Jiamini na uwe na swagg. Uongeaji unavyotembea ukiwa na watu etc huweza kuwajulisha watu kama unajiamini au la..
5. Be unavailable
Wanawake hawawapendi wanaume wanaopatikana muda wote wakihitajika hii inakupunguzia mvuto hivyo jaribu kutojirahisisha kwake na usiwe wa kupatikana kirahisi.
Ukifanya haya basi hautobabaishwa na wanawake.
Ina ukweli hii mwanaume ukizangatia sana urembo lazima kuna siku utapata ujumbe wako watu wanataka kukutolea posaUtakuja olewa kwa kuendekeza pigo hizo, mwanaume zingatia kazi acha kuzingatia urembo ili umfurahishe manzi.
Kuna wanaume siku hizi wana olewa na wewe una elekea huko huko kwa hizo pigo
SahihiMapenzi Hayanaga formula nyieee!! Anytime mambo yanabadilik
NtakutafutaMapenzi Hayanaga formula nyieee!! Anytime mambo yanabadilik
HahahaHayo ni majukumu ya Mwanamke kwa Mume mwenye Pesa.
Tengeneza pesa tu yeye atakusafisha atakuvisha kwa swaga apendazo na kukunukishia perfume apendayo mwenyewe.
Wacha kujivika Majukum ya Wanawake.

Umeona ehh nimewapa knowledge wameniinukia tu badala ya kujifunza.Jamaa ametoa uzi kwa nia njema tu ninyi mkajipa kazi ya kumfunda![]()
Hatakiwi kabisaHapa Msije mkajichangaya,Mwanaume mwongeaji hapendwi
Ajabu sana mkuu!Bado uko katika stage ya kufanya mambo kwa ajili ya kuvutia wanawake?
Nakazia.Bila fedha mkuu,hayo yote n ubatili mtupu
Dogo, ifikie wakati utofautishe kati ya neno mwanamke, na msichana/girlfriend! Hao unao waongelea wewe na kwa umri wako ni wasichana/girfriends!1. Usafi, wanawake wanapenda mwanaume msafi anaejitunza kuanzia mavazi, anapoishi na anakofania Kazi. Jitahidi fua nguo, uoge vizuri piga mswaki piga pasi. Safisha nyumba yako vizuri nk.