Zingatia haya ili udumu na wanawake

Realboynicky

Senior Member
Mar 31, 2023
134
230
1.kuwa msafi mda wote ,haijalishi unakipato gani jitahidi uvae vizuri unyoe vizuri. hamna kitu wanawake wanapenda kama mwanaume msafi hasa ukivaa nguo nyeupe

2.Harufu nzuri. Hakikisha unanukia vizuri. Mwili,mdomo,nguo chumbani etc

3.Unajishughulisha, hamna kitu wanawake wanavutiwa nacho kama mwanaume anae hustle na kupambania ndoto zake. Sio lazima uwe millionaire lakini kile kitendo cha wewe kuhustle kinawavutia wanawake wengi.

4.Uwe msiri. Hii inawapa wanawake wengi security coz wanaona mambo yao hayawezi gundulika wala kujulikana kwa watu
 
Wewe ni mwanamke au unawasemea tu wanawake?
 
Wanaume ndio mnakua wasemaji wa wanawake. Shame on you.
Nitakuaje msafi muda wote na kazi yangu ni kusaidia fundi
Wxactly! On point kabisa. Nimemuuliza hapo juu hili swali ila ameutelekeza uzi wake... na akome kabisa. Kichwa maji kabisa!
 
80% ya wanaume wanaojipulizia perfume huwa wananuka mavi..wazee wa kuchambia tishu..
Hata Wazungu wenyewe hawachambii tishu pekee, bali wanachambia na maji pia. Nafikiri watu hawajui matumizi sahihi ya tishu. Tishu ni kufuta unyevu na maji baada ya kushamba, siyo kufutia mavi.
 
1.kuwa msafi mda wote ,haijalishi unakipato gani jitahidi uvae vizuri unyoe vizuri. hamna kitu wanawake wanapenda kama mwanaume msafi hasa ukivaa nguo nyeupe

2.Harufu nzuri. Hakikisha unanukia vizuri. Mwili,mdomo,nguo chumbani etc

3.Unajishughulisha, hamna kitu wanawake wanavutiwa nacho kama mwanaume anae hustle na kupambania ndoto zake. Sio lazima uwe millionaire lakini kile kitendo cha wewe kuhustle kinawavutia wanawake wengi.

4.Uwe msiri. Hii inawapa wanawake wengi security coz wanaona mambo yao hayawezi gundulika wala kujulikana kwa watu
Nikishindwa nitaenda CAS tu
 
Si kila mtu atayafurahia maisha yako , wakati mwingine ukiwa na maisha mazuri watu huchukia.
 
1.kuwa msafi mda wote ,haijalishi unakipato gani jitahidi uvae vizuri unyoe vizuri. hamna kitu wanawake wanapenda kama mwanaume msafi hasa ukivaa nguo nyeupe

2.Harufu nzuri. Hakikisha unanukia vizuri. Mwili,mdomo,nguo chumbani etc

3.Unajishughulisha, hamna kitu wanawake wanavutiwa nacho kama mwanaume anae hustle na kupambania ndoto zake. Sio lazima uwe millionaire lakini kile kitendo cha wewe kuhustle kinawavutia wanawake wengi.

4.Uwe msiri. Hii inawapa wanawake wengi security coz wanaona mambo yao hayawezi gundulika wala kujulikana kwa watu
Dogo tafuta hela. Acha ujinga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom