Wanawake, wanaume warefu wembamba mnawapendea nini hasa?

Wanawake, wanaume warefu wembamba mnawapendea nini hasa?

Wewe mimi ni mwanamke nakueleza mambo ambayo nishakutana nayo. Ubishi tu.
😲😲😲 Sasa sample space ya wanaume wawili tuu ndio ufanye conclusion 🤣🤣🤣🤣


Majority of tall men wanakuwa kama mandingo. Hiyo sample yako ni ndogo sana watu mbili tuu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom