Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,725
Wadau embu naombeni tudiscuss ile 'clause kwenye matangazo ya kazi pale chini huwa wanaandika hivi kwa lugha ya Kiingereza, 'Women are encouraged to apply' au kwa Kiswahili, wanawake wanatiwa moyo kuomba nafasi hii kama huwa inawasaidia kweli wanawake kupata kipaumbele kwa nafasi hiyo wanyaoomba au ni mbwembwe tu za waajiri kuonekana kuwa they are an equal opportunity employers!