shosti mnialike na mimi niwasaidie......
huwa nakereka sana na wamama wenye hayo matabia aisee.... hivi utamng'ang'aniaje mtoto mdogo ambaye ndo kwanza anaanza maisha? tena msilegeze kamba mpaka kieleweke maana hapo kitakachotokea ni kupotezewa muda huyo mdogo wenu halafu anafurumshwa, take my words
Unajua lara 1 unawaponza wenzio.
Wewe unaongea as a jockey, lakini wenzako watakuamini humu, maana ushakuwa role mode kutokana na talk show yako, inabidi uwe mfano mwema humu JF.......LOL
Hivi unadhani wale kina mama na kina dada wanaozunguka mitaani na mabeseni na kuuza ndizi, matango, maembe na vipande vya mihogo, hawana huo uke?
Wanao na tena wengine wanalipa kwa sura na shape lakini wanalinda heshima zao..............!
ha haaaaaa, rafiki bwana unaniweka kwenye kona, lol!hebu tufafanulie hapo kidogo my dear coz mie hiyo ndio njia niliyojua kama jamaa ana ishu, au mwenzetu ulikuwa unakuta sms za namna gani? mie nilizokutaga zote ni matata haswaaaa,hakuwa na jinsi ya kujitetea,msg zake zote na hawara nilikuwa najifowadia, siku nilipomuonyesha alishaa mwenyewe.
ha haaaaaaaaa, kumbe mwoga eeeehhh! na sipati picha ulivyojilipua, mwenyewe unaenda kideti....mbona ungeacha miparo yako hapoMhhhhhhhhhhhhh!!!!!!! Pale Ilinibidi Sanaaaa! Chezea Who Haaaaaaa!!!!!!! Ningepewa Kung fu za hatari, ingekuwa mango garden au kwa macheni silipi ngoooooo!
ha haaaaaaaaaaa, kama nakuona jicho ulilokuwa unaibia kumpiga, lol!acha tu my dear, kijana ananitambulisha bila woga, naondoka kijana ananitumia sms ananiambia "sis, mamake kafurahi kukujua" kilichoniumiza zaidi ni hiyo jana kusikia kashaondoka nyumbani, huyo mama ni yale mashangingi, yaani kakaa na kijana bar kubwa watu kibao hana hata hofu, kumshika shika kijana, mara hivi mara vile, aliponimaliza ni alipomuita kijana "daddy" nilipiga funda la ballantin yangu nikaondoka mana ningeharibu mapema kabla ya mkakati.
shosti mnialike na mimi niwasaidie......
huwa nakereka sana na wamama wenye hayo matabia aisee.... hivi utamng'ang'aniaje mtoto mdogo ambaye ndo kwanza anaanza maisha? tena msilegeze kamba mpaka kieleweke maana hapo kitakachotokea ni kupotezewa muda huyo mdogo wenu halafu anafurumshwa, take my words
ha haaaaaa, rafiki bwana unaniweka kwenye kona, lol!
mambo mengine hayafai kuwekwa hadharani bwana.
Ila ninachoweza kukuambia, kama hizo sms zipo wazi kabisa na zinasema vitu ambavyo kiuhakika basi unaweza kuzitumia.
kuna watu wamejaliwa kuandika sms....... yaani ukiisoma hutaweza kuamini kama huyu mtu hana mahusiano yoyote na aliyemwandikia sms, akisoma third party ndo kabisaaaaaaaaaaaaa, utata mtupu
ha haa, pole my dear.basi my dear hizo sms zako zilikuwa hazina mikiki mikiki,zile zangu zilikuwa kiboko aise, hakuna cha kujaliwa kuandiaka pale, ndio mana siku nilipowakuta bar nilikuwa nahasira kiasi cha kwamba ningeharibu mazima kabisa.
ha haa, pole my dear.
abiria chunga mzigo wako, hadi bar? chezeya mwenye nyumba, lol! ila inauma sana, ndo maana watu wanakata wenzao miguu
ha haaaaaaaa, unataka kuwa ombaomba? hiyo ni fani ya watu my dear........
mimi nilishawahi kusema hapa, sijawahi kuomba kwa boyfriend/mume.... na sitegemei kufanya hivyo, especially now. kama hujaacha hela ya kufanya kitu ambacho kinatakiwa kufanyika, na inatokea kuwa sina hela, basi sitafanya. na watu nyumbani wameshalijua hili..... wakiona nimezungumzia kufanya kitu fulani na zikapita siku mbili hakijafanyika basi siku inayofuata nitaletewa hela za kufanyia hicho kitu
utakimbiwa, sasa na uzee huo si unachacha? au utafanya kama yule "wifi" wa Nyamayao? full kujipandikiza kwa serengeti boy, sasa mwenzio ana mahela na ndo haswa ugonjwa wa maserengeti boy.... sasa mwenzangu utataka serengeto boy na bado uombe? thubutuhe he he, umejiwezesha na ukaweza.
Mie naona uzee unaniingia vibaya, siku hizi napenda dezo sana.
Nimechoka kufanya kazi aisee.
ha haaaaaaa, kama nilikuwepo, lol!kuna wakati nilikua simfatii kabisa,siku hiyo ilikuwa jmosi nipo home nshapiga kinywaji changu mana nilishaona msg ya mtoko wao wa lunch siku hiyo, nimefika baa nimekaa kona nimekunywa kwa hasira zote nikisema leo ndio leo, nipo peke yangu, vilivyoanza kupanda kichwani ndio nikaanza kujisogeza mezani kwao, kale kahawara nadhani kalishanijugaa mana ndio ka kwanza kutimka akifatiwa na huyo mzinzi mwenzake, ile siku nilikuwa naharibu kabisa, na halikurudi home kesho yake asubuhi nashangaa linakuja na mama nyamayao, mxsiiii
utakimbiwa, sasa na uzee huo si unachacha? au utafanya kama yule "wifi" wa Nyamayao? full kujipandikiza kwa serengeti boy, sasa mwenzio ana mahela na ndo haswa ugonjwa wa maserengeti boy.... sasa mwenzangu utataka serengeto boy na bado uombe? thubutu
Choko mchokowe pweza, binadamu mie hutoniweza!!!!!!!!!!!! IM DEAD SERIOUS ABT THIS IDEOLOGY!!!!! Ujue any ILEGAL BUSINESS inahitaji FRONT COVER ili usishtukiwe magumashi yako!
Hao wauza ndizi hiyo ndo FRONT COVER! yao, wakikaa ndani nani angewaona? Hushangai ndizi wanauzia Bar kwenye potential customers!!!!!!!!
Hata mie, sio kwamba hii kazi naipenda sanaaaa, au kudamka saa kumi na mbili napenda, la hashaaa! Wala sitegemei huu mshahara unitoe kimaisha, Hata vyeti navyoongeza ITS ALL ABOUT THE FRONT COVER!!!!!! Nikienda kwa clients ndo huko huko nafanikisha mambo, nikienda chuo Ma DR wale wakiniona si haba!, Wakija clients, pale ofisini si haba nikijipitisha nishaonekana!!!!!!! MJINI MIPANGO!!!!!!!!
THE END JUSTFYS THE MEANS!!!!!!
umeona eehh!afu huu mchezo wa serengeti umekuwa maarufu sana.
Kuna mdada mmoja hapa mjini ana title kubwa kweli lakini anakula kitu kina miaka 28. Utadhani karogwa.
Serengeti marfuku, wakubwa wenzangu wa kuchop wapo tu.
ha haaaaaaa, kama nilikuwepo, lol!
aliamua kujisalimisha kwa mama mkwe? mjanja sana huyo maana alijua hutakuwa na la kusema kwa mama.....
ila rafiki ulikuwa na moyo, bar, halafu peke yako? hukuogopa wangekuchangia? si unajua penzi jipya tena?
kuna siku dadangu mtoto wa mamkubwa alifanya kama hivyo, akamfwata shem bar, wao ilikuwa usiku..... hana hamu..... walimchangia ni balaa,
sasa dada ana vichekesho sana, akituhadithia anatuambia hathubutu kurudia, maana alipona kwa Rehema za Mungu
Uvivu ndio maan wanaishia kumegwa na kuachwa, kwa kuzidi kuomba omba
si bora wewe unawasikia wakilalamika hawajatolewa. Sie tunaofuatwa kuombwa ombwa? Utaskia mie nakupenda, nitakupa raha, afu wewe una hela najua utanitunza na kunisaidia mengi. Vijana wa siku hizi, no wonder wadada hawapati waume wa kuwaoa. Manake wenyewe vijana wanasaka waume![/QUOTE]
weekend nilikuwa moshi, mdogo wangu wa kiume kwa mama mdogo akanikaribisha mahali nimuone" wifi yangu", jamani huyo mdada niliemkuta pale mwenyewe nilibloo,vijana wa sasa hasara tupu, nilijuta kwanini nilienda mana ni aibu tupu.
hahahaha, yaani noma. Vijana wanataka makuu hadi basi. Wa size yake hawataki anataka waliomzidi. Hakawii kumfuata mdada amuambie 'baby naomba kodi ya nyumba, nimepewa notice'.