Wanawake wanaovaa madira

Wanawake wanaovaa madira

kweli tunatofautiana. Mimi mwanamke anayevaa dira ni big no.... kuvaa madira kunaambatana na uswahili na umbea, labda awe mjamzito

madera siku hizi yanatumika kwa ajili ya kusutia watu.........
 
"Neema za Allah"

Hii clipnikikumbuka huwa nacheka sana hasa pale shehe alipsma hapendi wanawake wembama "LABDA ITOKEE TU"" ha hahahah ha
Naomba link maana huwa nasikia tu hayo maneno ya huyo shehe
 
Skelewu kuuuumbe basi sawa haha huuu leo siku nzuri sana hahaa...hii thread hii basi sawa,
shida ni hii pasi yangu na kitambii duh hivi kwenye dera vinakaa kweli??
 

Attachments

  • 1414773570919.jpg
    1414773570919.jpg
    33.2 KB · Views: 379
Hapa umeniacha kwani ana mdogo wake ??

ila sio kwa yule maana yule nilimuona juzi kati tena alikuwa kama ndugu yangu.
Yeye alitangulia tuu, aliyepigiwa vigelegele ni mwingine yeye ana wawili!, akafuatiwa na mwibfine ana watatu!, na huyu aliyepo sasa ana wawili!, jumla wako 7!, na sijamaliza!.

Kila mmoja anakuja na rizki yake!.

Pasco.
 
Luckyline, kila watu na
ugonjwa wao, wa ugonjwa wa zile neema za Mungu zinafichwa kwenye madira
wapo, lakini na sisi wagonjwa wa leggy line tupo!, tuwekee basi angalau
hiyo leggy line nasi tupate raha japo tutakula macho tuu!.

Pasco

ahaaaaa eti leg line ahaaaa njo uuchukuwe
 
Madera kama kawaidaaaaa siachiiii,hunirahishia kama sehemu naenda ya haraka,sokonii,misibani,navaaa
 
Yeye alitangulia tuu, aliyepigiwa vigelegele ni mwingine yeye ana wawili!, akafuatiwa na mwibfine ana watatu!, na huyu aliyepo sasa ana wawili!, jumla wako 7!, na sijamaliza!.

Kila mmoja anakuja na rizki yake!.

Pasco.

Pasco umenichekesha sana khaaa...!!!

wa kwanza ndio yule ninayemjua mimi hao sita waliobaki wamepishana vipi ??

mkuu una spidi kali kweli ndugu yangu

Ila huyu unatakiwa ule hela mapema.
Nitakusaidia kumlea akue kue

ongeza wanne ufungue timu ya mpira wa miguu

ha ha ha ha ha ha
ha ha ha ha ha ha
 
Last edited by a moderator:
Raha ya dira uwe na ---- aisee, naweza kukusindika hadi mlangoni kwako nikiangalia Neema za Allah
 
Back
Top Bottom