Wanawake wanaovaa madira

Wanawake wanaovaa madira

Mleta mada umenikumbusha siku moja nilikuwa mkoani kikazi sasa ikifika jioni tumerudi baada ya kuiga ili tuunganne na staffmet kwenda kupata dinner napiga dira nachukulia siple kha kumbe jamaa mmoja ananisoma ikabidi one day anitumie text mda wa kulala eti lol huwa unaniacha hoi na ilo vazi lako nikamuuliza lipi eti la jioni nikashangaa kwa kuwa nilikuwa nipo siple kuliko wote akasema izo gauni unazopiga usiku tukienda kula nikacheka sana nikamwambia huzijui? Akasema no lol nikamuuliza dira hujui serious hakuwa anajua jina lake isee toka siku iyo ni kicheko mpaka tunamaliza kazi.
 
Ngozi ya huyu mtu haina rutuba wala ushirikiano wa kitaifa....

Ulitaka aende kununua weupe wa dukani? Kitu naturally hicho acha kabisa huo ndio ugonjwa wa wengine wakiona hiyo ngozi akili inahama ghafla.
 
Kusema kweli mimi huwa navutiwa sana na wanawake wanaovaa madira kuliko hawa wanaovaa visuruali vya kubana au visketi vifupi.

Mwanamke na hasa umkute ana shepu halafu akuvalie dira, wallahi huwa nahamasika, yaani huwa wananivutia sana.

Mimi la aziz wangu alikuwa hapendelei kuvaa madira licha ya kuwa nilimshauri mara kadhaa ila baada ya kugundua kwamba kila nikiona mwanamke kavaa dira huwa nasifia kuwa kapendeza na kuvutia huku shingo yangu ikiwa haitulii ili kuzisindikiza 'neema za allah' kwa macho, la azizi wangu naona akabadili msimamo akaanza kununua na kuvaa madira na kuna siku nikatoka nae nikampiga na shopping ya madira kadhaa, na hivi sasa siamini macho yangu ndio imekuwa pigo zake.

Na namshukuru mola habibi wangu kaumbika na huko 'uani' mashaallah basi huwa naburudika na kujiona kidume rijali kila akipita mbele yangu akiwa ndani ya dira.

wanakera wanapokuja nayo hospitalini, kazi kweli kupiga kidole chini na kukagua mwili mzima, hadi avue lote, wanapoteza muda sana, ukija kuzaa au ukija hospitali vaa kanga.
 
wako wale wenye utumwa wa dini fulani, basi utukuta baada ya dira wamevaa matambaa mengine meengi usoni na ndani ya dira, halafu matambaa yenyewe yana rangi zisizokuwa na mmvuto basi taabu tupu,wengi wanakaa mbagala Tandika Mtongani na kawe.
 
hahahahahhahaaaaaaaaaaaaaaaaaa jamani ila mm nimeshawahi waona wengine wana chambiana huku madila na ushungi wameweka begani hayo amambo yapo sana uswahilini ninyi wamasaki hamyajui tu

sasa ngoja zije zile ngoma zao wewe watacheza mpaka watamkosea Mungu hapo ndipo utajua kuwa dunia imeharibika
ukitaka kuyaona haya sister jaribu kukaa uswahili hata kama ni kwa ndugu yako wewe nenda siku za weekend nakwambia utarudi siku hiyohiyo hataka ni usiku wa manane mana michiriku, mdundiko na makelele ya umbeya yatapita dirishani mwako utaziba kwa katani wapi utaziba kwa blanketi wapiiii uziba kwa vitu vizito wapiii utaomba ardhi ipasuke ]



chezea uswazi wewe
ladyfurahia furahia anaweza maana anasema anakaa mbagala.
 
Last edited by a moderator:
Madira hayakatai mtu ni nguo nzur za heshma ht mm napenda madira
 
labda kama itakuwa oversize, lakini kama ina kufit sawasawa hata kama una neema ndogo ya allah itaonekana tu! Unajua mwenyezi mungu ana maana yake kugawa neema kubwa kubwa na neema ndogo ndogo maana ameumba pia mashabiki wa neema zote hizo!!
Nimechekajee
 
yani umenikuna kweli mm nampenda na natamani nikipata mpenzi anaye vaa dira uwa natumia dk 30 kumuangalia.
 

wengine maumbo yetu namba moja
kwny dera hatujai,viskin jeans navyo vinapwaya khaa
tutakomajeee!!
 
Back
Top Bottom