Wanawake wanaovaa madira

Wanawake wanaovaa madira

kweli tuendelee kuva vigauni vyetu na sisi waone uumbaji mtoto mguu utafikir niliongea na mungu ahaaaa wa madila wanaficha vumiguu kama sindano

Khaa we naye majungu miguu Twaificha na suruali
 
0011.jpg
 
Binafsi dera kwangu marufuku,taiti mtindo mmoja flat screen haiwezi kaa kwenye dera!!!!
 
na hii pasi ya kichaga madira yapite hiviiii... ili neema zangu zionekane basi na mie nitaendelea kutinga suruali tu.
 
Dira linampendeza mwanamke mwenye nyama nyama tu, hasa awe na SECTION B iliyotepeta utapenda tu akiwa anatembea
 
Back
Top Bottom