Wanawake wanaovaa madira

Wanawake wanaovaa madira

Kusema kweli mimi huwa navutiwa sana na wanawake wanaovaa madira kuliko hawa wanaovaa visuruali vya kubana au visketi vifupi.

Mwanamke na hasa umkute ana shepu halafu akuvalie dira, wallahi huwa nahamasika, yaani huwa wananivutia sana.

Mimi la aziz wangu alikuwa hapendelei kuvaa madira licha ya kuwa nilimshauri mara kadhaa ila baada ya kugundua kwamba kila nikiona mwanamke kavaa dira huwa nasifia kuwa kapendeza na kuvutia huku shingo yangu ikiwa haitulii ili kuzisindikiza 'neema za allah' kwa macho, la azizi wangu naona akabadili msimamo akaanza kununua na kuvaa madira na kuna siku nikatoka nae nikampiga na shopping ya madira kadhaa, na hivi sasa siamini macho yangu ndio imekuwa pigo zake.

Na namshukuru mola habibi wangu kaumbika na huko 'uani' mashaallah basi huwa naburudika na kujiona kidume rijali kila akipita mbele yangu akiwa ndani ya dira.

simpaka awe na huo mwili wa kukaa humo kweny dera!!! wengine tuumbo twetu tunapendeza hizo skini na bikini plus tugauni twa dizain flan
 
Ulitaka aende kununua weupe wa dukani? Kitu naturally hicho acha kabisa huo ndio ugonjwa wa wengine wakiona hiyo ngozi akili inahama ghafla.

Anunue asinunue hio hainihusu,,, ngozi yake japo mweusi haina rutuba. over!
 
mkuu, unakuta mwanamke anavaa dira 24/7, kila mahali analo tu tena mengi yana rangi ya njano, hapendezi hata kidogo

wee kweli hujui ke mweupe akivaa nguo ya njano daaah anavutia nakupendeza SANAAAAAAAA TENA SANAAAAAAA
 
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom