Wanawake wanaovaa madira

Wanawake wanaovaa madira

Nakubaliana na wewe dira sio vazi linaloweza kumfanya mwanamke aonekane nadhifu labda huyo mtu alibane na likisha banwa haliwi dira tena linakuwa ni gauni hayo madira ni special kwa siku kama jumapili au jumamosi upo upo tuu nyumbani na misibani mara nyingi

mkuu, unakuta mwanamke anavaa dira 24/7, kila mahali analo tu tena mengi yana rangi ya njano, hapendezi hata kidogo
 
kuna dada mmoja alvaa dera ila hana neema za allah uan hata chembe nlijskia vbaya kama kapu tupu hata mashekh kwenye kazu wanavutia
 
sisi ambao neema ya allah katuwekea kidogo kwa kweli tuendelee kujibana na visuruali ili ile neema ionekane.... .. wengine tukivaa madera tunakuwa kama tumetundika nguo kwenye hanger

Nijuavyo mie Allah hanyimi vyote! Akikunyima kalio anakupa zawadi m'badala!
Ofcoz hata nawe miss chagga kipo ulichozidishiwa , mathalan wawezakua unamiliki .... Ya mnato sana etc.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa uyasemayo lakini ni bora mara 1,000 ukilinganisha na kuvaa vimini au tight pants. Kuna mmoja mie ilibidi nimuulize weye mbona unavaa sana haya Madera ni aje? Ndio akaniambia kama anajua siku hiyo atapita mitaa yenye "wahuni" basi kimini au suruali ya aina yoyote ile ni marufuku dera kama KAWA na hajawahi kusumbuliwa hata siku moja akiwa kwenye dera pamoja na kujaliwa sana neema za Muumba wetu.

ndugu yangu kuna wengine kwa jinsi walivyojaaliwa hata wakivaa madira mizigo waliyobeba haifichiki
 
Nijuavyo mie Allah hanyimi vyote! Akikunyima kalio anakupa zawadi m'badala!
Ofcoz hata nawe kipo ulichozidishiwa , mathalan wawezakua na .... Ya mnato sana etc.

:A S wink::A S wink::behindsofa::behindsofa:
 
Pasco thread zako hizi mkuu. Aisee wewe bro unapenda mademu balaa
Mkuu Ikwe, sio mimi!, mambo mengine mtanionea bure!, yako kwenye damu!, natoka moja ya yale makabila yanoongoza kwa kupenda kwa dhati!. Kupenda wengi ndio jadi yetu ya asili ya Kiafrika.

Pasco
 
sisi ambao neema ya
allah katuwekea kidogo kwa kweli tuendelee kujibana na visuruali ili ile
neema ionekane.... .. wengine tukivaa madera tunakuwa kama tumetundika
nguo kwenye hanger

kweli tuendelee kuva vigauni vyetu na sisi waone uumbaji mtoto mguu utafikir niliongea na mungu ahaaaa wa madila wanaficha vumiguu kama sindano
 
watamjulia au kumuona wapi pasco! Maana mimi kama mpemba, sokoni naenda mwenyewe au tukiwa pamoja!
Vifunikwavyo vyaliwa!, vyaachwa vilo wazi!.

Alishindwa Mungu, akaweka na skari malaika wenye upanga za moto makali, kuwili, na bado wa kupenya walipenya na tunda likachumwa!, likamegwa, likaliwa!, unless kama wa kwanza ulikuwa wewe, then unaweza pia kuwa wa mwisho!, lakini kama haukuwa!, then wewe sii wa kwanza na hautakuwa wa mwisho!.

Watu wengine achana nao, akimjua tuu, anamuita kimoyo moyo, wewe hata msibani utaagwa!, usifanye masikhara!.

Pasco
 
Pasco huyu kama ni yule ninayemjua mimi nahisi akiiona location yangu kuna kitu atagundua ila siku hizi kamehama magomeni
olympio to Zanaki pale kwa bibi yake magomeni na mama yake akiishi zanzibar
Du!, usikumbushe!. Binti na mdogo wake ni members wa jf!, hivyo heshima mbele!.

Pasco
 
kweli tuendelee kuva vigauni vyetu na sisi waone uumbaji mtoto mguu utafikir niliongea na mungu ahaaaa wa madila wanaficha vumiguu kama sindano
Luckyline, kila watu na ugonjwa wao, wa ugonjwa wa zile neema za Mungu zinafichwa kwenye madira wapo, lakini na sisi wagonjwa wa leggy line tupo!, tuwekee basi angalau hiyo leggy line nasi tupate raha japo tutakula macho tuu!.

Pasco
 
Kusema kweli mimi huwa navutiwa sana na wanawake wanaovaa madira kuliko hawa wanaovaa visuruali vya kubana au visketi vifupi.

Mwanamke na hasa umkute ana shepu halafu akuvalie dira, wallahi huwa nahamasika, yaani huwa wananivutia sana.

Mimi la aziz wangu alikuwa hapendelei kuvaa madira licha ya kuwa nilimshauri mara kadhaa ila baada ya kugundua kwamba kila nikiona mwanamke kavaa dira huwa nasifia kuwa kapendeza na kuvutia huku shingo yangu ikiwa haitulii ili kuzisindikiza 'neema za allah' kwa macho, la azizi wangu naona akabadili msimamo akaanza kununua na kuvaa madira na kuna siku nikatoka nae nikampiga na shopping ya madira kadhaa, na hivi sasa siamini macho yangu ndio imekuwa pigo zake.

Na namshukuru mola habibi wangu kaumbika na huko 'uani' mashaallah basi huwa naburudika na kujiona kidume rijali kila akipita mbele yangu akiwa ndani ya dira.

kwaiyo?????
 
sisi ambao neema ya allah katuwekea kidogo kwa kweli tuendelee kujibana na visuruali ili ile neema ionekane.... .. wengine tukivaa madera tunakuwa kama tumetundika nguo kwenye hanger

Hahahahahahahahahahaha, tungejaliwa wote nani angemuheshimu mwenzie.
 
Ni kweli mwanamke anaevaa mavazi ya kutoonyesha maungo yake kwa kweli huwa inapendeza sana na hata kufuatiliwa na wanaume kwa macho inapunguza
 
na wengine wanayachomeka hayo madira kwenye nguo ya ndani!
 
Du!, usikumbushe!. Binti na mdogo wake ni members wa jf!, hivyo heshima mbele!.

Pasco

Hapa umeniacha kwani ana mdogo wake ??

ila sio kwa yule maana yule nilimuona juzi kati tena alikuwa kama ndugu yangu.
 
Hii mada imenigusa sana, Wanawake wakitanzania nadhani utandawazi unawapoteza sana mpaka wanasahau taste zetu sisi wanaume wa kiafrika. binafsi navutiwa sana na uvaaji tajwa na hasa kwa mwanamke mwenye umbo la kiafrika (si maanishi unene hapa). Mtoa mada kuna kitu kingine nataka kuongeza ni vazi la kanga, kwa kweli hapa kwangu ni ugonjwa kabisa, mwanamke au binti mwenye haiba na umbo zuri la kike akivaa mavazi haya huwa natamani na kuvutiwa nao sana. Ni mavazi yanayonipa taswira ya uzuri na thamani ya mwanamke wa kitanzania. ni mavazi ya staha na yanayoshawishi kuujua zaidi uzuri wa mwanamke wa kitanzania tofauti na vinguo vifupi vinavyoacha kila kitu hadharani. Wanawake mnapaswa kutambua kuwa si kila kiungo inafaa kuacha hadharani ili kumvutia mwanaume vingine vinapaswa kuhifadhiwa ndani ya nguo za staha ili kuruhusu utundu na akili ya wanaume kuvumbua hazina hizo. Nawapenda sana wanawake wa kitanzania nahisi nikienda ulaya na nisipowakuta watanzania wenzangu naweza kurudi kama nilivyokwenda.

Back
Top Bottom