Wanawake wanaotoka nje ya ndoa wana dharau

Inashangaza sana, wanaume tukitoka nje ya ndoa huwa tunarudi na nidhamu tu na zawadi kedekede nyumbani na malavidavi ya kutosha kwa mama watoto. Lakini wao wakitiwa nje basi nyodo mtindo mmoja ndani, kwanini lakini???
Mkuu kuna haya yafuatayo;
1. Huwa wanasema wanandoa wakiishi pamoja kwa muda mrefu hufanana....! Tafadhali sana, kufanana kwao sio kwa sura, bali kwa tabia....! Hivyo, kama sio mkeo kakuridhisha tabia hiyo, basi uwe makini usije ukamridhisha yeye siku za mbeleni....!
2. Uelewe kuwa wanawake wengi huwa wanaadhibu kimyakimya....! Hivyo, kama mkeo atakauwa ameshtukia, basi uanze kujua kuwa kunyamaza kwake si bure, bali ni kwa kuwa anajua ngoma droo...!
3. Hayo maneno ya kimadongo unayopewa na wezi wenzio kuhusu nyumba zao lazima kuna moja katika haya; aidha nawe unamkandia mkeo mbele yao, au hawana akili nzuri kabisa, na hivyo unatembea na wajinga, vichaa, malaya, machangu, na wasiofaa kuigwa katika dunia hii....!
4. Ninavyoamini mimi ni kwamba kila afanyacho binadamu kwa mwenzie mara nyingi huwa ni kujaribu kufidia guilt ya yale yaliyowahi kumtokea naye kwa kufanyiwa na binadamu wengine...! Hivyo, huenda hata unavyofanya ni kujaribu kubalanzisha uliyofanyiwa nawe huko nyuma...! Na kama ndivyo nikupe pole, lakini nikushauri kuwa hiyo sio tiba ya hasira....!
5. Vinginevyo; kumbuka misemo haya; "Asiyesikia la mkuu huvunjika guu" na "Asiyefunzwa na mamaye, hufunzwa na ulimwengu"....! So, angalia usivunjike guu au usije fundishwa na ulimwengu kwa vitendo....! Maana naona kama bado umelala kabisa....!

Sijatendwa mkuu,, mimi ndo nawamega wake za watu kinoumer ndo maana najua. Yaani hata akipigiwa simu tu na mumewe wakati nakula mzigo,, kwanza anatoa msonyo wa kufa mtu kwamba mshikaji anasumbua, na hapo kaka nitapewa kila kitu kama sina akili nzuri

<br /
Kwa hiyo umeanzisha mada ili kuonyesha uhodari wako wa kumega wake za watu? Sifa za kijinga.

Kijana Musharaf, you really think you are invisible!! hebu fikiria foot prints unazoacha kwenye PC etc.. my friend si kweli unavyofikiria ni rahisi tu kukukamata. Usijisifie uovu.

Hapo kwenye red: Anakanyaga PC...!? Labda kama abbr. PC imetumika kwa maana nyingine tofauti na hii ninayofikiria mimi.

heheheeeee,, hapana aiseee. Mmoja kaniomba kabisa nizae naye!!! sasa namwambia, wewe mumeo mwalabu nimye mbantu wa ukweli na mbegu yangu kali,, huogopi kuachwa? anasema hajali,, sasa hapo ndipo ninaposhangaaa kabisa. Mbona mimi nikirudi kwa mama watoto nina adabu, mpole sana. Kama siku hiyo nje nimetumia say 100,000/=, yaani hotel, vinywaji,chakula na yeye nimtoe,,, basi kwa hasira nakwenda kufanya manunuzi ya nyumbani double the amount

Usiwekeze hela nyingi kwenye Mbunye kiasi hicho,Chapa kisela bill isizidi 45000 unless uwe Afisa Mkubwa saaaana serikalini au Mashuhuri kwamba huwezi kwenda kwenye Lodge za kawaida,halafu utamaduni wa kuhonga baada ya kuchapa inabidi tuufikirie mara mbili!
Sometime huwa sielewi mwanamke anajichukuliaje unapompa hela baada ya kumkaza!!!

mwanamke akitoka kuna kitu anachofuata kama vile penzi au pesa au aina fulani ya maisha ambayo anayakosa home (kwa mume).. mwanaume akitoka ni kama anajifurahisha tu au kuongeza idadi ... kwa hiyo mwanamke akipata kile kitu anachotaka nje anajisahau na ataonyesha dharau kwa vile wewe huwezi kukifanya .. pia kiakili akishahama hata umfanyeje bado hatakuwa na hisia bali atakuwa anatimiza wajibu kama mke tu kwa mume

Mimi nagonga sana wake za watu ndo maana najua ninachoongea. Yaani akija kwangu atamkandia mumewe kishenzi,, oooh jamaa leo nikirudi atakuwa kanuna huyo!! mara oohh jamaa najua leo atataka kupekua simu yangu na makandokando mengi tu
Mkuu hii ni kali na pia ni hatari. Kuwa muangalifu sana.

Mimi nagonga sana wake za watu ndo maana najua ninachoongea. Yaani akija kwangu atamkandia mumewe kishenzi,, oooh jamaa leo nikirudi atakuwa kanuna huyo!! mara oohh jamaa najua leo atataka kupekua simu yangu na makandokando mengi tu

endelea tuu kuna cku utashikishwa ukuta au utakojoa dagaa.

Kama mkeo ana guts za kutoka nje nawewe mumewe ukajua kabisa kua

anafanya hivo na ukamezea... Kuna kitu gani cha kukuheshimia hapo??
..........Hhaahahah AshaDii hebu mpe pole kwanza nawee! Ukiona hivyo ujue yeye alianza sasa mkewe ndo anamaliza mazima!!

Dharau tosha yaani hapo

.......................Ndo hapo kaka, kitendo ca kutoka tu nje ya ndoa tayari ni dharau, hizo nyingine ni kibri na jeuri tu kuwa naye anaweza au naye wamo

Mimi nagonga sana wake za watu ndo maana najua ninachoongea. Yaani akija kwangu atamkandia mumewe kishenzi,, oooh jamaa leo nikirudi atakuwa kanuna huyo!! mara oohh jamaa najua leo atataka kupekua simu yangu na makandokando mengi tu

Kumbe wewe ndio source ya huo ujeuri wao, sasa unashangaa nini?
Mtu kama wewe hufai kabisa kwenye jamii, unastahili kupigwa mawe hadi ufe?
Do you feel proud kwa hilo unalofanya?
Ulaaniwe kabisa!!

We musharaf kicheko gani hicho cha mtoto wa kiume mbona 'umul shaka'...mbona watuzalilisha yaani unatukanyagia? afu unatamba hadharani kabisaaa?...utakuwa na matatizo wewe si bure..aidha hujafundishwa madhara ya hicho ukisemacho....to be invisible si hoja...yaani unye pembeni choo cha stand kisa hakuna anayekuona?...afu hiyo laki si mngejichanga we na mkeo mtoke keko mwanga mabondeni mlikopanga walau mkajenge mbagala au ukamnunulia mama yako kaniki au baba yako walao kashati..ndugu usijekuta mama naye ana mkaanga viazi wake na anamhonga hizo 'double the amount' unazopeleka home..
Mkuu mbona tunaanza kupangiana maisha tena?

Kumbe wewe ndio source ya huo ujeuri wao, sasa unashangaa nini?
Mtu kama wewe hufai kabisa kwenye jamii, unastahili kupigwa mawe hadi ufe?
Do you feel proud kwa hilo unalofanya?
Ulaaniwe kabisa!!
Dua la kuku hilo, halimpati mwewe asilani.......mwewe akiwa kileleni anaambaa ambaa hewani,, leo Tanzania Bara, kesho yuko visiwani,, akipumzika kidogo yuko Pemba mikarafuuni.....utampata wapi?

Mimi nagonga sana wake za watu ndo maana najua ninachoongea. Yaani akija kwangu atamkandia mumewe kishenzi,, oooh jamaa leo nikirudi atakuwa kanuna huyo!! mara oohh jamaa najua leo atataka kupekua simu yangu na makandokando mengi tu

Jiadhari sana kijana siku yako yaja,siku hiyo ndio utajua kwa nini kunguru anapenda kuvaa suti nyeusi na shati jeupe.

Jiadhari sana kijana siku yako yaja,siku hiyo ndio utajua kwa nini kunguru anapenda kuvaa suti nyeusi na shati jeupe.
oyaaa... acheni kunitishia life au vipi bhana,,, kama kuwagonga ni kweli nawagonga kinomanoma, na wengine wapo hapahapa na wanajijua

Back
Top Bottom