Wanawake wanaotoka nje ya ndoa wana dharau

Mimi nagonga sana wake za watu ndo maana najua ninachoongea. Yaani akija kwangu atamkandia mumewe kishenzi,, oooh jamaa leo nikirudi atakuwa kanuna huyo!! mara oohh jamaa najua leo atataka kupekua simu yangu na makandokando mengi tu

wanakuzuzua tu hao ujione wewe kijogoo na mume zao hawafai,usikute wakirudi nyumbani heshima juu na malove na macare lol
 
kuna wake za watu hapa
na waume zao pia wapo hapa.....
Be carefull......
Unaweza jikuta umechokoza watu bila kujua....
Kaka kwani katajwa mtu jina hapa? na je kinachoongelewa si kweli? Naam,,,, ni kweli na wao waliopo humu ndani (wake kwa waume) wanajua tena sana tu
 
wanakuzuzua tu hao ujione wewe kijogoo na mume zao hawafai,usikute wakirudi nyumbani heshima juu na malove na macare lol
heheheeeee,, hapana aiseee. Mmoja kaniomba kabisa nizae naye!!! sasa namwambia, wewe mumeo mwalabu nimye mbantu wa ukweli na mbegu yangu kali,, huogopi kuachwa? anasema hajali,, sasa hapo ndipo ninaposhangaaa kabisa. Mbona mimi nikirudi kwa mama watoto nina adabu, mpole sana. Kama siku hiyo nje nimetumia say 100,000/=, yaani hotel, vinywaji,chakula na yeye nimtoe,,, basi kwa hasira nakwenda kufanya manunuzi ya nyumbani double the amount
 
Inashangaza sana, wanaume tukitoka nje ya ndoa huwa tunarudi na nidhamu tu na zawadi kedekede nyumbani na malavidavi ya kutosha kwa mama watoto. Lakini wao wakitiwa nje basi nyodo mtindo mmoja ndani, kwanini lakini???

Anaringia alichofanywa huko kwani alikikosa kwako, kaka mwizi lazima awe fundi
 
Hebu jiulize kwamba hapa JF kwa mimi kusema ukweli kabisa kwamba nagonga sana wake za watu.....what is the worst case scenario? Mtaani naweza kuuawa niki admit hill,, lakini hapa ni cyber space tunayoongea ni ya kweli na hakuna wa kutufanya kitu

Nilisema THANK YOU to the Boss sababu kwanza kabisa katika mada nyiingi hana kujifanyisha kua he is perfect au kua ni role model...na husema kwa wazi kabisa kua yupo interested in women na kua ni married barchelor.... (aweza kua atania ama kweli) but in most cases issues kama hizi opinions zake hunivutia sababu hajali member wengine watam judge ama hawatam judge ilimradi i-point to the truth.....
 
Usijifanye kijogoo mla nae uliwa. Unamuona mkeo mjiiinga kumbe si hajabu keshakushtukia na kuna wenzio wanakusaidia pia.
heheheeeee,, hapana aiseee. Mmoja kaniomba kabisa nizae naye!!! sasa namwambia, wewe mumeo mwalabu nimye mbantu wa ukweli na mbegu yangu kali,, huogopi kuachwa? anasema hajali,, sasa hapo ndipo ninaposhangaaa kabisa. Mbona mimi nikirudi kwa mama watoto nina adabu, mpole sana. Kama siku hiyo nje nimetumia say 100,000/=, yaani hotel, vinywaji,chakula na yeye nimtoe,,, basi kwa hasira nakwenda kufanya manunuzi ya nyumbani double the amount
 
Sijatendwa mkuu,, mimi ndo nawamega wake za watu kinoumer ndo maana najua. Yaani hata akipigiwa simu tu na mumewe wakati nakula mzigo,, kwanza anatoa msonyo wa kufa mtu kwamba mshikaji anasumbua, na hapo kaka nitapewa kila kitu kama sina akili nzuri

Mkeo humGongi vizuri ndio maana akirudi anakuwa na mazarau kibao.
 
Nilisema THANK YOU to the Boss sababu kwanza kabisa katika mada nyiingi hana kujifanyisha kua he is perfect au kua ni role model...na husema kwa wazi kabisa kua yupo interested in women na kua ni married barchelor.... (aweza kua atania ama kweli) but in most cases issues kama hizi opinions zake hunivutia sababu hajali member wengine watam judge ama hawatam judge ilimradi i-point to the truth.....
AshaDii kumbe huyu jamaa kweli umem study sana,, yaani unalosema ni kweli tupu ingawa mimi ananiboa sana huyu mwana
 
nilisema thank you to the boss sababu kwanza kabisa katika mada nyiingi hana kujifanyisha kua he is perfect au kua ni role model...na husema kwa wazi kabisa kua yupo interested in women na kua ni married barchelor.... (aweza kua atania ama kweli) but in most cases issues kama hizi opinions zake hunivutia sababu hajali member wengine watam judge ama hawatam judge ilimradi i-point to the truth.....

yaani leo umeni define best...
Ni never pretend to be perfect or a role model...
Exactly........
 
Usijifanye kijogoo mla nae uliwa. Unamuona mkeo mjiiinga kumbe si hajabu keshakushtukia na kuna wenzio wanakusaidia pia.
Wapi nimekwambia miye najiona kijogoo?? ukweli utabaki palepale kwamba wanawake hawa wana dharau kwa waume zao wanapogongwa nje
 
AshaDii kumbe huyu jamaa kweli umem study sana,, yaani unalosema ni kweli tupu ingawa mimi ananiboa sana huyu mwana

But from leo... interest isha hamia kwako... kwa Boss nimemaliza....lol

Musharaf...

Junior Member, brand new, caught my eye on his 9th post (impressive)
ADI note that you have to look further... lol
 
Usijifanye kijogoo mla nae uliwa. Unamuona mkeo mjiiinga kumbe si hajabu keshakushtukia na kuna wenzio wanakusaidia pia.
Nyumba: Ukiona manyoya ujue kaliwa!
Your sentensi is not always true! Unaweza wewe usiwe unakula ila unaliwa vilevile.........think
 
nyumba: Ukiona manyoya ujue kaliwa!
Your sentensi is not always true! Unaweza wewe usiwe unakula ila unaliwa vilevile.........think

wewe hivi ile biashara yako iliishia wapi?
Nipe feedback....nina interest nayo lol
 
Back
Top Bottom