Wanawake wanaotoka nje ya ndoa wana dharau

Kama mkeo ana guts za kutoka nje nawewe mumewe ukajua kabisa kua

anafanya hivo na ukamezea... Kuna kitu gani cha kukuheshimia hapo??
Mie mwenyewe nimejiuliza hilo, au anamuona ga tu ndugu yake hamuheshimu mumewe?
 
Mimi nagonga sana wake za watu ndo maana najua ninachoongea. Yaani akija kwangu atamkandia mumewe kishenzi,, oooh jamaa leo nikirudi atakuwa kanuna huyo!! mara oohh jamaa najua leo atataka kupekua simu yangu na makandokando mengi tu
Basi anavokuvimbisha kichwa unadhani ndio akienda home anamdharau mumewe, thubutuuuu, hapo anakupa kichwa ujikunje tu kama samaki wa kwenye senti tano, akiinuka hapo anajifuta vumbi mbio kwake, na kwa taarifa yako wanaume wakitoka ndio wanakuwa kama wameingiwa na pepo na sio wanawake, ndio maana kuna watu wanasema wanawake wana roho ngumu wanaweza ua mtu, mwanaume anaweza toka na akahalalisha hadi home kwamba aha mtu mwingine na mke akatulia tuliii
 
unacheza kweli wewe! hujui mikito yangu wewe
 
mmmh! Shantel utaua
Siui nampa ukweli tu kwamba wanaume ndio huwa wanadharau wakitoka nje na sio wanawake, kwanza hiyo dharau utaianzia wapi, kama hujala mabao matakatifu, labda mume awe mjingamjinga tu ndio atakubali kudharauliwa
 
hahhaaa,,,mpashe bidada
 
Inashangaza sana, wanaume tukitoka nje ya ndoa huwa tunarudi na nidhamu tu na zawadi kedekede nyumbani na malavidavi ya kutosha kwa mama watoto. Lakini wao wakitiwa nje basi nyodo mtindo mmoja ndani, kwanini lakini???

nafikiri swali la kujiuliza hapa kwanini wewe m.me au m.ke utoke nje ya ndoa...?

Sijatendwa mkuu,, mimi ndo nawamega wake za watu kinoumer ndo maana najua. Yaani hata akipigiwa simu tu na mumewe wakati nakula mzigo,, kwanza anatoa msonyo wa kufa mtu kwamba mshikaji anasumbua, na hapo kaka nitapewa kila kitu kama sina akili nzuri

Kijana kumbuka mke wa mtu ni sumu, ukiendelea na tabia hiyo siku zako za kuishi zinahesabika, utalamba mchanga, huo c ujanja...
 
Kuna Muhindi Director in a company i used to work for in Dar(Years ago) never believed in outright sack for first time petty offenders. He always believed in forgiveness and giving new chances. To him to train a new person was more expensive and unguaranteed.
MY POINT. A woman kicks her man out because she has caught him sleeping with their neighbour, then start dating a man who was kicked out by his wife because he was sleeping with three barmaids and the househelp. Be serious ladies. Most men don't connect sex with love. A man will love his wife to bits but still sleep nje ya ndoa .(This is why Mistresses are surreptiuosly allowed in europe and polygamous life is not a big deal in Africa)."BUT" it is different when a woman sleep outside marriage. She psychologically cuts the umbilical cord that attaches her to her love life and live for that moment.
 
Kama mkeo ana guts za kutoka nje nawewe mumewe ukajua kabisa kua

anafanya hivo na ukamezea... Kuna kitu gani cha kukuheshimia hapo??

LOL...haya mambo haya, yasikieni tu...no wonder wengine hushindwa kabisa kusamehe.
'Bora lawama kuliko fedheha'
 
Kuna Muhindi Director in a company i used to work for in Dar(Years ago) never believed in outright sack for first time petty offenders. He always believed in forgiveness and giving new chances. To him to train a new person was more expensive and unguaranteed.
MY POINT. A woman kicks her man out because she has caught him sleeping with their neighbour, then start dating a man who was kicked out by his wife because he was sleeping with three barmaids and the househelp. Be serious ladies. Most men don't connect sex with love. A man will love his wife to bits but still sleep nje ya ndoa .(This is why Mistresses are surreptiuosly allowed in europe and polygamous life is not a big deal in Africa)."BUT" it is different when a woman sleep outside marriage. She psychologically cuts the umbilical cord that attaches her to her love life and live for that moment.

Hey Mkasika I do like your analysis but it does not mean kua ndio nyie

guys mjiendekeze kisa tu you don't connect sex with love....
 
Kijana kumbuka mke wa mtu ni sumu, ukiendelea na tabia hiyo siku zako za kuishi zinahesabika, utalamba mchanga, huo c ujanja...
mkuu mambo mengi sana duniani ni sumu,, weee umeona mk wa mtu tu? acha kunichuria mwana,, siyo kiiivyo basi au siyo bana!
 
mla chamwenzie na chake huliwa, be careful my friend, hiyo ni sifa ya kijinga.kwanza kutoa nje ya ndoa sio sifa njema wanadoa tujirekebishe. you better sit down with you wife and talk your marriage. solution sio kutoka nje ya ndoa
 
Oyaaa wacha kujidanganya wewe,, dunia ya leo kuna mwanamke asiyemegwa?? Wewe kaa hapo jifanye eti mke waangu mke wangu akienda huko anamegwa kama hana akili nzuri halafu usiku wewe unajiona kijogoooo,, unacheza na wanawake wewe!!!
 
Mwanamke anatatizo1 tu kama mume ni dhaifu ktk 6*6 huwa anakuwa mgonjwa wa nyege kama unavyojua bandubandu haimalizi gogo mara1 so akipata mchanja kuni haswa mume anamuona kama kidampa. angalia kama kafata pesa nje hatokuwa na dharau coz anajua huduma ya mwili hana pakupata isipo kuwa kwako so hatataka kumuudh mchinja ng'ombe atakosa nyama. ila kama nje anafata penzi dharau utaikoga mpaka ukome vikao havita kwisha kwake
 
Oyaaa wacha kujidanganya wewe,, dunia ya leo kuna mwanamke asiyemegwa?? Wewe kaa hapo jifanye eti mke waangu mke wangu akienda huko anamegwa kama hana akili nzuri halafu usiku wewe unajiona kijogoooo,, unacheza na wanawake wewe!!!
<br />
<br />
Usemalo hutegemea na kwakuwa ile ki2 hainaga alama wala haiko used ikipata maji na ndimu au shabu hurudi kuwa mpya kama ndio inatoka kiwandani. ila kumbuka mla huliwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom