Wanawake wanaotoka nje ya ndoa wana dharau

Wanawake wanaotoka nje ya ndoa wana dharau

Kwa sababu wanawake wanapenda na wanaume wanatamani...
 
Mmh!! hatari sana kutembea na mke wa mtu one day yatakukuta ya kukukuta
 
Inashangaza sana, wanaume tukitoka nje ya ndoa huwa tunarudi na nidhamu tu na zawadi kedekede nyumbani na malavidavi ya kutosha kwa mama watoto. Lakini wao wakitiwa nje basi nyodo mtindo mmoja ndani, kwanini lakini???
Kwa sababu mpaka ametoka kazi imekushinda
 
Inashangaza sana, wanaume tukitoka nje ya ndoa huwa tunarudi na nidhamu tu na zawadi kedekede nyumbani na malavidavi ya kutosha kwa mama watoto. Lakini wao wakitiwa nje basi nyodo mtindo mmoja ndani, kwanini lakini???
ukiona hivyo ujue huko nje ndo kuna kitu ile roho yake inataka..,..man is a polygamist in nature
 
Mimi nagonga sana wake za watu ndo maana najua ninachoongea. Yaani akija kwangu atamkandia mumewe kishenzi,, oooh jamaa leo nikirudi atakuwa kanuna huyo!! mara oohh jamaa najua leo atataka kupekua simu yangu na makandokando mengi tu
..Nawasi wasi na Leseni yako,..haiwezekani uwe unagonga wake za watu tu. Vp unaendesha boda boda nn?
 
Huwezi ukawa unagonga wake za watu na kujisifia hadharani. Ni utoto.
 
Sijatendwa mkuu,, mimi ndo nawamega wake za watu kinoumer ndo maana najua. Yaani hata akipigiwa simu tu na mumewe wakati nakula mzigo,, kwanza anatoa msonyo wa kufa mtu kwamba mshikaji anasumbua, na hapo kaka nitapewa kila kitu kama sina akili nzuri
hata mjinga ukimpa nafasi ya kuongea nae atajisia ya kuwa muelevu ninyi nyote wanachama cha puta mimi mjumbe nimithibitisha
Mimi nagonga sana wake za watu ndo maana najua ninachoongea. Yaani akija kwangu atamkandia mumewe kishenzi,, oooh jamaa leo nikirudi atakuwa kanuna huyo!! mara oohh jamaa najua leo atataka kupekua simu yangu na makandokando mengi tu
 
Ni ujinga kutafuna wake za watu kama una akili timamu na unajielewa
 
Mimi nagonga sana wake za watu ndo maana najua ninachoongea. Yaani akija kwangu atamkandia mumewe kishenzi,, oooh jamaa leo nikirudi atakuwa kanuna huyo!! mara oohh jamaa najua leo atataka kupekua simu yangu na makandokando mengi tu
We endelea kula vya wenziyo tu kwa zama hz utakamatika tuu hapo ndpo utakapo kiona cha moto na uanze kujifundisha kabisa kuchezea 0713 yko mapemaaa
 
Yani mkeo atoke nje, halafu arudi akuheshimu????????????????????????? Ngoja nimalize kukuna kichwa...................

Nakudokeza kidogo, yani ili mkeo amfurahishe wa nje, Lazima asimulie mapungufu yako yote....
halafu akirudi akuheshimu???????????????

kama maisha yanazingua achana nayo, fanya mengine.
 
Back
Top Bottom