Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,972
- 168,935
Niongee mie aibu uone wewe makubwa, mie sio mtoto wa kike ni mwanamkeJaman ni vizuri mkajiheshimu, ni aibu sana kwa kauli zenu mnazo zitoa tena watoto wa kike. Evelyn, masai dada na wengineo 2mien busara zenu, ila samahan kama nitakuwa nimewaboa but ni ushauri wangu kwenu!!
Hata mi sijui akija utalionaUnavyoona madame b atakuja na tusi gani?
Niongee mie aibu uone wewe makubwa, mie sio mtoto wa kike ni mwanamke
Lugha kali ndio lugha gani?
Ukiona mwanamme anatumia nguvu nyingi kubishana na mwanamke ujue shida ipo.......
kama dai anavyobishana na jokate
Ni moshi wa bangi, karibuHapa kimetokea nn mbona naona moshi?
Diamond mbali jitolee mfano wewe hapokama dai anavyobishana na jokate
kwani mi ni kioo cha jamii mi ni raia wa kawaida tu Evelyn Salt unampenda dai hadi unatamani unipe adhabu kwa kumtaja duh mahaba niuwe hayaDiamond mbali jitolee mfano wewe hapo
Ni moshi wa bangi, karibu
Lugha kali ndio lugha gani?