wanawake wanaoolewa They are not SMART

ndala hubaki na heshima yake chooni tu!
ukitoka nayo nje unaulizwa vipi mbona na malapa njiani?
 

are you one of them?
 
Utafiti wako uko shallow.
Karudie!




Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Do you.

Wawe smart, wasiwe smart kivyao.

As long as hawajakuingilia katika reli zako kinakuwasha nini?

I am not a big fan of matrimony, but I can't be obnoxious enough to say married women are not smart. The statement is a sweeping one. Sweeping statements lack specificity and have no business in talking about smartness.

Obnoxious is so not smart.
 

Umenikosha sana munkali
 
ficha ujinga wako!
kama hujapata wa kukuoa jipange sawasawa.
 
Sio kweli hata kidogo! Labda ukijibu maswali haya utapata jibu...
Nini maana ya brave?
Je kuna m/me anapenda kuoa mbumbumbu?
Then mimi natafuta hao ma-brave ili niwe na ndoa bora for the sake of ma children!
Then tofautisha m/ke kiburi na brave.

Sawa sawa
 
Unajua kuna nungayembe as you put it, ama small hausi ambayo inafaa kupandishwa daraja ikawa big hausi. Ila huu ni unga wa ngano ulioshakandwa, ukaanguka. The only use ni kuzibia tundu kwenye kikaango! Haufai!

ukiziba tundu kitapuwaje, we mkali wa tungooooo
 
Maneno ya mkosaji hayoooooo.tuachie wenzio vimekushinda kuvila usivitie ila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…