wanawake wanaoolewa They are not SMART

wanawake wanaoolewa They are not SMART

Mie raha ya maisha yangu ni familia , i mean maisha ya mume mke na watoto. Napenda sana na ndo furaha yangu mie. Usipoolewa hata kama utajitunza kiasi gani jamii inayokuzunguka itakudharau tu na wengi wao watadhani unawachukulia waume zao.
 
Mie raha ya maisha yangu ni familia , i mean maisha ya mume mke na watoto. Napenda sana na ndo furaha yangu mie. Usipoolewa hata kama utajitunza kiasi gani jamii inayokuzunguka itakudharau tu na wengi wao watadhani unawachukulia waume zao.
 
Hapana jamani kuolewa ndio heshima ya mw'ke km hujaolewa hujaheshimika
 
Wanawake Brave awaolewi, wanabaki kuwa nyumba ndogo.


Wanachezewa chezewa wakichoshwa na kukojolewa hovyo bila tija ndiyo wanakuja JF kusema haya aliyoyasema mleta mada hapo juu tena kwa hasira huku wakilia. Very brave na ni bitter sweet for her.
 
Married woman are inferior,they dont know their right.
Mwanamume anapiga masimu yupo ndani anapulizwa na feni anasema yupo kwa foleni.
While katoka kukoroma,Mwanamume harudi kwake muwiki mwanamke bado anamulimia mumewe simply just because she cant stand with her own feet.
Mwanamume anamunyanyasa anangangania kubaki simply because she is afraid to suffer for her stomach.
Brave woman hawaolewi wanamume wanawaogopa.

Cheza na kuolewa ee?,Muhimu!!!..Ukitaka kujua hilo,mwanamke awe wa kwanza kuzaliwa ktk familia yake,na awe na wadogo zake wa kiume kama 2 au zaidi na wawe wameoa,For sure,hao kaka zake wakitaka kwenda nyumbani kwa dada yao kumsalimia watakua wanajishauri,.Maana wataogopa kwamba wakiwa kwake AIBU yaweza ikatokeza mda wowote..Yaani wakitaka kumtembelea wiki ijayo basi kwa hofu wiki hii yote kila mda ni kumpigia simu dada yao (kumuandaa),"Hallo Dada,Shikamoo!!,wiki Ijayo tutakuja kwao sijui unataka tukuletee zawadi gani?,Mara oh,Dada,wiki ijayo tunakuja,vipi hali ya hewa huko,mara oh,Vipi Dada utakua busy sana,maana nakuja na wifi yako,tumekumiss sana,tunahitaji muda wa kutosha wa kukaa na kuongea na wewe.....Maana wanajua dada yao yupo kwenye hekaheka,hata Viserengeti Boy vinamsumbua sana.
 
Back
Top Bottom