baelezee!bidada alafu ajiulize nyumba kubwa ngapi zinajitangazia kuwa mume anacare?co mambo mapya kwao ni daily sasa yeye akimcare siku 1 kelele mpaka mtandaoni.
thubutuuuuu!!brave woman ndio
tupo ndoani bibieee!!!mutuwache na ndoa zetu
hatujafwata magari shost,only love n' care!!nyie
bakini kuiba vichochoroni na kung'atwa na mbu wa gesti bubu!!
tena hata gesti hawaingii, ngoma zinaishia parking, kenye michongoma au vibarazani tu...
Kama ulijua!raisi wa nyumba ndogo tz
tena hata gesti hawaingii, ngoma zinaishia parking, kenye michongoma au vibarazani tu...
tena hata gesti hawaingii, ngoma zinaishia parking, kenye michongoma au vibarazani tu...
daaa muwikii ndio nini?
Married woman are inferior,they dont know their right.
Mwanamume anapiga masimu yupo ndani anapulizwa na feni anasema yupo kwa foleni.
While katoka kukoroma,Mwanamume harudi kwake muwiki mwanamke bado anamulimia mumewe simply just because she cant stand with her own feet.
Mwanamume anamunyanyasa anangangania kubaki simply because she is afraid to suffer for her stomach.
Brave woman hawaolewi wanamume wanawaogopa.
mwambie huyo..., anadhan ndoa mchezo.. lazima uwe smart.. ndoa ilimshinda mzee madiba atii.Whaaaat! UMENOAAAA! wanawake wenye ndoa wako smart kishenzi yani! Na ndo mana mwenzako kawekwa ndani! Hivi unadhani ndoa mcheezo eee! Neno 'mke wangu' ukiliskia kwa mume wa mwenzio unajiskiaje? Sifa kubwa ya mwanamke kwa taarifa yako KUOLEWA kuwa NA MUME na FAMILIA YAKO mwenyewe! Siyo kuwekwa kimada a.k.a NYUMBA NDOGO KULA MAKOMBO loh!
sijapenda mawazo yako haya. ila napenda sana hii kiswahili yako muzuri, yaan sina mbavu hapa..Married woman are inferior,they dont know their right.
Mwanamume anapiga masimu yupo ndani anapulizwa na feni anasema yupo kwa foleni.
While katoka kukoroma,Mwanamume harudi kwake muwiki mwanamke bado anamulimia mumewe simply just because she cant stand with her own feet.
Mwanamume anamunyanyasa anangangania kubaki simply because she is afraid to suffer for her stomach.
Brave woman hawaolewi wanamume wanawaogopa.
Wanawake Brave awaolewi, wanabaki kuwa nyumba ndogo.