Whaaaat! UMENOAAAA! wanawake wenye ndoa wako smart kishenzi yani! Na ndo mana mwenzako kawekwa ndani! Hivi unadhani ndoa mcheezo eee! Neno 'mke wangu' ukiliskia kwa mume wa mwenzio unajiskiaje? Sifa kubwa ya mwanamke kwa taarifa yako KUOLEWA kuwa NA MUME na FAMILIA YAKO mwenyewe! Siyo kuwekwa kimada a.k.a NYUMBA NDOGO KULA MAKOMBO loh!
hahaha,kweli wewe una passion!
haina kwere,utapata
hahahahhaa,hutaki nionekane fundi wako?sawa chalii yangu,kaunta ya mwanzoni kabisa mlangoni ndo ntakuona kirahisi,afu tunazama kule inner most!!muda saa tuta-pm-miana,figaniga hachelewi kujisogeza
thats my boy.lini sasa,saa ngapi?
utakaa counter au karibu na jikoni?
uvae upendeze basi!!
hahahahhaa,hutaki nionekane fundi wako?sawa chalii yangu,kaunta ya mwanzoni kabisa mlangoni ndo ntakuona kirahisi,afu tunazama kule inner most!!muda saa tuta-pm-miana,figaniga hachelewi kujisogeza
thubutuuuuu!!brave woman ndio
tupo ndoani bibieee!!!mutuwache na ndoa zetu
hatujafwata magari shost,only love n' care!!nyie
bakini kuiba vichochoroni na kung'atwa na mbu wa gesti bubu!!
mupe, mupe huyooooooo.......... Wazuri na mabrave ndio twaolewa,,,,,,,,,, nani kamwambia mwanaume anataka mke mbumbumbu ndani???????
Kweli vimada huongopewa vibayaa lol!!
Mwishoe wanabaki kuwa manung'aembe...... Ina huuuuuu!!!!!!!!!!!
Huyo ni kiburudisho cha wanaume, kwa sababu unapiga halafu unasahau kwa sababu una mke wako na hutaki usumbufu kwa sababu unajua mko wengiWw kukosa mume unataka na wenzio wakose?, ngoja waendelee kukufuja, nyumba ndogo 4 life
ukiniona wala usingeongea hivyo bi shost
nina uhakika nina mvuto mara elfu zaidi yako
we kama mashine ya kufyetua kids endelea!!
kuolewa rahaaaaa bibi haijalishi una kazi o huna!!
Married woman are inferior,they dont know their right.
Mwanamume anapiga masimu yupo ndani anapulizwa na feni anasema yupo kwa foleni.
While katoka kukoroma,Mwanamume harudi kwake muwiki mwanamke bado anamulimia mumewe simply just because she cant stand with her own feet.
Mwanamume anamunyanyasa anangangania kubaki simply because she is afraid to suffer for her stomach.
Brave woman hawaolewi wanamume wanawaogopa.
raisi wa nyumba ndogo tz
​bubaya lakini sikushindi wewe heheheiyaaaa!!