wanawake wanaoolewa They are not SMART

wanawake wanaoolewa They are not SMART

Married woman are inferior,they dont know their right.
Mwanamume anapiga masimu yupo ndani anapulizwa na feni anasema yupo kwa foleni.
While katoka kukoroma,Mwanamume harudi kwake muwiki mwanamke bado anamulimia mumewe simply just because she cant stand with her own feet.
Mwanamume anamunyanyasa anangangania kubaki simply because she is afraid to suffer for her stomach.
Brave woman hawaolewi wanamume wanawaogopa.

Kila kitu kina faida na hasara,.Na ubora wa kitu unapimwa kwa kulinganisha wastani wa faida na hasara zinazotokana na hali au kitu husika:Mwanamke aliyeolewa tunamwita (Mke wa ndoa) na Mwanamke asiyeolewa akiwa zaidi ya 30yrs anaitwa (Nungayembe,Kimada,Nyumba ndogo,Wapiga mizinga,Shuga mami,na majina mengine kadha wa kadha ya kumdhalilisha mwanamke) hiyo yote ni kuonesha kwamba mwanamke asiyeolewa anahitaji msaada wa aina mbalimbali {Ni tegemezi kiuchumi,kimawazo,vyombo vya ziada vilinde heshima yake [wapigania haki wanampigania yeye ila yeye bado anakua kikwazo kwa hao wapigania haki] }

Zahra White,Hapa JF kuna watoto wa Mulugo ambao baadhi yao ni wavivu na hawasomi shule huko wanachukua baadhi ya hoja huku jamiiforums na kwenye mitandao mingine na kujibia mitihani yao wakidhani eti wamenufaika na mitandao ndo maana wanafeli sana siku hizi.{japokua kuna sababu nyingine nyingi zinasababisha kufeli kwao}

Kuolewa ni kitu kikubwa kinapitia mchakato mrefu wa kushirikisha watu wenye "Elimu zao,Busara zao,Uzoefu wa maisha,Hekima zao,Mamlaka yao tena ni mamlaka makubwa,na kushirikisha Taasisi muhimu za kiimani,Kimila au Serikali,Pamoja na Wazazi wa Pande zote mbili ili kuhakikisha kwamba kila mmoja (mwanandoa) anapata uelewa wa nini kinachoendelea na majukumu yake ktk kutunza na kuendeleza ndoa ktk maisha yao.

Mwanamke aliyeolewa ni hodari na yuko juu ktk uelewa wa maisha,hadhi ktk jamii,anakubalika na kuaminiwa na jamii ktk mapana yake,Hakurupuki ktk kutatua matatizo yanayomkabili.Na hana majina machafu yanayowakabili waanawake wasioolewa ambao ni above 30yrs.

Mwanamke aliyeolewa anajitambua na anajua haki zake za ndoa na mambo mengine ya kifamilia Ila mwanamke asiyeolewa hajui na hana kaki za ndoa,Yeye aangalie tu shughuli zake halali na kiuchumi na za Kupiga MIZINGA.
 
thubutuuuuu!!brave woman ndio
tupo ndoani bibieee!!!mutuwache na ndoa zetu
hatujafwata magari shost,only love n' care!!nyie
bakini kuiba vichochoroni na kung'atwa na mbu wa gesti bubu!!
naona umewachana bila chenga kula like
 
Married woman are inferior,they dont know their right.
Mwanamume anapiga masimu yupo ndani anapulizwa na feni anasema yupo kwa foleni.
While katoka kukoroma,Mwanamume harudi kwake muwiki mwanamke bado anamulimia mumewe simply just because she cant stand with her own feet.
Mwanamume anamunyanyasa anangangania kubaki simply because she is afraid to suffer for her stomach.
Brave woman hawaolewi wanamume wanawaogopa.

Hapo ulitoka kuchezea kibondo kutoka kwa mke wa mtu baada ya kufumaniwa ukiwa na mumewe am sure, na ulivyomjinga ukadhani ilikuwa haki yako kuiba. Hakuna mwanaume anayeweza oa mbulula ka weye ila sanasana kama una mvuto wataishia kugegeda tu.
 
Huyu hajui watu wanakesha kwa kuomba na wengine kwa waganga kwa ajili ya kupata ndoa

Inabidi umpe data labda atakuelewa, maana hao wanaojaa kwenye makanisa kuomba ndoa na watoto, yeye hawaoni??
Kuolewa kunaleta Hwshima kila sehemu, hata ukipata watoto huwa wanasikia raha kuwa na baba na mama pamoja, nina wasiwasi na mleta mada inawezekana hana ndoa, anaitamani haipati, kaamua kuficha machungu yake kwa kutusema sisi wenye ndoa.
 
kwani eti wanaume wasioa nao ni manungayembe au? sifa ya mwanamke kuolewa na ya mwanaume?,ya nini kufunga ndoa kama kucheat kupo?na kumehalalishwa kwa wanaume?

wamaanisha nini unavyosema kucheat kumehalalishwa kwa wanaume???
 
kila mtu anaishi kulingana na utashi wake, yaani kila mtu anaishi style ya maisha aliyochagua mwenyewe. wewe kama ulishachagua kuwa single hiyo ni style uliyoichagua mwenyewe, walioolewa usifikiri kwamba wanashida, wabaya sana au wazuri sana la hasha, ni maisha waliyochagua kuishi. Usimtukane mwanamke yeyote ukimkuta anapigwa ananyanyaswa na mme wake lakini anakuambia hawezi kuondoka hayo ndo maisha aliyochagua kuishi. Kwangu mimi naamini kila mwanamke akiamua kuolewa anaolewa.
 
kusingekua na manungayembe na vimada hadi mkawatukana na kuwadharau humu kama c hao waume wa ndoa wanaocheat wake zao.ila humu wanawake mlivyo na fikra za kitumwa mnaona sawa uwepo wa wanaume wenye nyumba ndogo wawepo ila hao manungayembe hawafai.uko radhi uolewe uwekwe ndani kisha mwanaume azunguke atakavyo poa tu coz anarud kwako!!?
 
married woman are inferior,they dont know their right.
Mwanamume anapiga masimu yupo ndani anapulizwa na feni anasema yupo kwa foleni.
While katoka kukoroma,mwanamume harudi kwake muwiki mwanamke bado anamulimia mumewe simply just because she cant stand with her own feet.
Mwanamume anamunyanyasa anangangania kubaki simply because she is afraid to suffer for her stomach.
Brave woman hawaolewi wanamume wanawaogopa.

brave kwa kuwekwa kimada na kuliwa tigo......brave kwa kufanyiwa guest kila siku?brave kwa kuwa malaya wa kubadilisha dushelele?
Ona sasa hata mtoto huna
 

oyeeeee!!
mdada ukishavaa shela ni usmati tosha
na sehemu ya mwanamke yenye mvuto siku zote
ni brain sio kuvaa nusu uchi fyuuuuuu thn wanajiita smart!!

safiii,nidai toti kadhaa pale Milestone pub
 
Poor you mutumbo mukubwa,no job,no bussiness,not educated,aint a looker munahonga serengeti munapigwa,munatuknwa all kind of humiliation munakuja muongopahapa

umeona eeee mamy
hawa wezi wa waume wanataka kutuzingua tu!!
hatuzinguliki ng'oooo!!


mupole sana nakupa.
Marriage is not my thing i know all men,i live a very expensive life.
Nazaa muwiki 2 or 3
 
Back
Top Bottom