Wanawake wanaongoza kwa kujichubua (mkorogo)

Wanawake wanaongoza kwa kujichubua (mkorogo)

SirBonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2010
Posts
378
Reaction score
437
Katika utafiti wangu mdogo nimegundua kwamba katika jamii yetu ya ki TZ kundi la wanawake wanaoongoza kwa kujichubua ni

1. POLISI

2. ..........

Endeleza hiyo list na sababu kama unazijua
 
Huna kazi ya maana ya kufanya? jitahidi ujenge mazoea ya kusoma vitabu mbalimbali uwe PRODUCTIVE
 
Itakuwa wewe si mpenzi wa viti virefu (Bar), unawajua ma-barmaid kweli wewe?
 
Wamefanyaje hao kinamama, ndio wanaokudatisha au
 
Bongo muvi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Huna kazi ya maana ya kufanya? jitahidi ujenge mazoea ya kusoma vitabu mbalimbali uwe PRODUCTIVE
Mbona povu linakutoka au ndo walewale CARO-LIGHT?
 
Nenda Mango Garden ukawatazame mabaamedi afu uone utawaweka namba ngapi kwenye orodha yako. Kisha geukia upande wa pili - aimini Uhuru Peak - mitaa ya saa saba usiku uone vijana wa kiume walivyojichubua....
 
Back
Top Bottom