amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,275
Last edited by a moderator:
Siku unaonaje na wewe ukae chini uumbe wa kwako ambae sio faceless? tena kumbuka faceless ya kwako kwa mwenzako ni face-cutee
ngoja Kaizer aje atuambie
wanawake faceless sijui ndio wakoje jamani!!!!
tatizo malengo ya kukutana huwa ni kuchorana tu
tatizo malengo ya kukutana huwa ni kuchorana tu ndio maana ukikuta sura mbaya unapata cha kuongea, kama watu mnakutana kwa ishu za maana hata ukimkuta ni kibogoyo inakuwa haiuhuu
Faceless=faceless (ˈfeɪs lɪs)
adj. 1. lacking a face.
2. lacking personal distinction or identity: a faceless mob.
3. unidentified or unidentifiable; concealing one's identity.
[156070]
faceless - definition of faceless by the Free Online Dictionary, Thesaurus and Encyclopedia.
Wanaume banaaa! umkute anaesema hivo nae sura kama muarobaini
ondoa jazba jukwaani tuzungumze uhalisi suala la mi kuumba wng linatoka wapi japo unachozungumza ni kweli ljn majority walokutwa na huu mkasi wakili hilo kutokea
Chukua tano Mwajei! Leo umeongea pwenti sana.
Hiyo sababu ndo inanifanyaga nisipende kukutana na mijitu ya humu. Mingi huwaga inataka kukuchora tu halafu ipate utirio wa umbea.
wakati hujauliza:coffee:mmmh, na mimi nasubiri jibu.
inaonekana hili limekuwa janga la MMU; guys poleni kwa kufall in love with avatars.
Hilo swali ingelikuwa vyema kama ungelielekeza kwa Mungu Muumbaji maana ndiye aliyeumba kila kitu na kukiona chema mbele zake...
Ukituuliza sisi utakua watuonea tu na kututafutia laana...
Wanaume banaaa! umkute anaesema hivo nae sura kama muarobaini
Wala sijasema kwa jaziba, nimesema ukweli tu baba