Wanawake wanaongoza kwa faceless

Wanawake wanaongoza kwa faceless

Dume kujiamini tu dada yangu, mwanaume hauzi sura.

Tutor B hapo gwala mwanaume kaz co sura ndo mana mwanaume akioa haambiwi hongera ila mwanamke ndo huambiwa hongera kwa kuolewa tena utackia mwanamke pambo la nyumba ila sio mwanaume
 
Kweli Mzee wetu hayati Rem Ongala hakukosea alipoimba wimbo wa "UJANA MAJI YA MOTO" tafadhali mwana JF mwenye nao aniburudishe.
 
Kaka hawaujui ule msemo 'Mwanamke sura tabia tutarekebishana na Mwanaume pesa sura tutavumilia'.......

pamoja san heshima nimemwambia mi nataka kuwa raisi au mkuu wa nchi ili aniheshimu
 
Katika kuishi kwako huenda kuna cku ilishawahi ingia call mpya kweny cm yako ikiomba uhusiano wa mapenzi either m/me or m/ke au ktk ambao walishawahi kukuPM ila ilipofika wakati wa kutimiza appointment yenu ya kwenda kuonana kila moja huwa na shauku yakumuona mwenzie akiwa na picha nzur ya figure na face yake lkn mwisho wa yote katika hii appointment ya kijasus mara nyingi wanawake ndo huwa figureless na faceless hv hii ktu kwanin ndo kwmb huwa mnajaribu kumpata bahati yenu ya kumpata hb ukajisifu na kupandsha GPA zenu kupitia mtu? wanawake hucken zaid hapa mawazo yenu yanahucka san

shida mnatafuta wanawake wa mitandaoni? funga safari nenda vyuoni there are plenty of them na utawaona kwa macho yako na utachagua kwa sampuli uitakayo? dont gamble hii si tu kwa wadada hata ww unayekwenda onana naye unatazamia kukutana na msichana mrembo kisa kaweka avatar yenye mvuto wa kike wakati si yeye akijua atawanasa wakware kama wewe! unajua kwa nini? kwa sababu wanaume tumeumbiwa kutazama tu tunashawishika and ladies knows this and they use it effecticely to catch and seduce men!
 
Tutor B hapo gwala mwanaume kaz co sura ndo mana mwanaume akioa haambiwi hongera ila mwanamke ndo huambiwa hongera kwa kuolewa tena utackia mwanamke pambo la nyumba ila sio mwanaume

pole kama wewe mwanaume hukuambiwa hongera!
 
Ila kama hujui kuumba kwanini uumbue?ujue sio vizuri hata unaemdhania sio faceless kesho aweza pata la kumpata mdomo ukahamia kichogoni?
Kama ni mpenzi wa taarabu tumrushie wimbo wa Jahazi Modern Taarab unaoitwa KAZI YA KARIMA umeimbwa na dada yake na Mzee Yusuph, hapo atajua maadhira ya dunia.
 
Wanaume banaaa! umkute anaesema hivo nae sura kama muarobaini

lakini jamani sie ata tukiwa na sura mbaya kinachoangaliwa ni mshiko mbona kidume ukiwa nao wala ubaya huo haunekani
 
sasa unavowatangaza apa unadhani wanasikia raha?

kumbe huu ni wanja wa matangazo? nadhani cjataja jina la mtu tena nimezingatia vigezo vyote vya kikatiba bila kuathiri uhuru wa mwngne soma ibara katiba yetu ya1977 ibara 18na 20 pia hili co tangazo kukusaidia katafute sifa ya tangazo linatakiwa liwe na vitu gan
 
Kama ni mpenzi wa taarabu tumrushie wimbo wa Jahazi Modern Taarab unaoitwa KAZI YA KARIMA umeimbwa na dada yake na Mzee Yusuph, hapo atajua maadhira ya dunia.

rudi kwenye mada mbona umeanza kutoka nje ya mada maandko yanasema ajidhaniaye amsimama na aangalie acje akaanguka maana yake anawaonya watu wacjisahau sas wew unafikir uumbaji wa mungu tu bila kufikir pia mengine yanababishwa na sis wenyew kutumia wadawa ya viwandan na namna tunavyojaribu kujiboresha
 
Huo wimbo ulishawahi kuusikiliza????????????
 
kumbe huu ni wanja wa matangazo? nadhani cjataja jina la mtu tena nimezingatia vigezo vyote vya kikatiba bila kuathiri uhuru wa mwngne soma ibara katiba yetu ya1977 ibara 18na 20 pia hili co tangazo kukusaidia katafute sifa ya tangazo linatakiwa liwe na vitu gan

yaani wewe....
 
Kama ni mpenzi wa taarabu tumrushie wimbo wa Jahazi Modern Taarab unaoitwa KAZI YA KARIMA umeimbwa na dada yake na Mzee Yusuph, hapo atajua maadhira ya dunia.

usinicheke nilivyoumbwa nilivyoumbwa,we mzuri unavutiaaa,
hii kazi ya mola ya mola.
Haiingiliwi kazi yake mola mja acha. . . .
Nimekumbuka maneno hayo best song of taarab
lara 1 na madame b watakuja kusaidia
 
Last edited by a moderator:
Katika kuishi kwako huenda kuna cku ilishawahi ingia call mpya kweny cm yako ikiomba uhusiano wa mapenzi either m/me or m/ke au ktk ambao walishawahi kukuPM ila ilipofika wakati wa kutimiza appointment yenu ya kwenda kuonana kila moja huwa na shauku yakumuona mwenzie akiwa na picha nzur ya figure na face yake lkn mwisho wa yote katika hii appointment ya kijasus mara nyingi wanawake ndo huwa figureless na faceless hv hii ktu kwanin ndo kwmb huwa mnajaribu kumpata bahati yenu ya kumpata hb ukajisifu na kupandsha GPA zenu kupitia mtu? wanawake hucken zaid hapa mawazo yenu yanahucka san

Kumbe ndio hii thread kuna mtu aliitaja!
 
hata baada ya kumaliza UE na kurudi russia bado wamekuja walio faceless!
dah!
sa tufanyaje best?
hem ngoja nakuja

Best umemnichekeshaa....alisemaga watu wa m pii eemu tuu atazisoma akirudi RUSSIA.

Binadamu kaazi
 
Back
Top Bottom