Wanawake wanaongoza kwa faceless

Wanawake wanaongoza kwa faceless

Iliwahi nitokea mwaka 2006 dada mmoja wa Arusha nilikuwa na mawasiliano nae kwenye cm na alionekana kutaka sana kuja kwangu Tanga. Baada ya miaka miwili nikamruhusu aje. Nilichokiona nilitamani ardhi ipasuke niingie. Alikuwa faceless, mwembamba, meno yote yameliwa na fluoride. Majirani walinishangaa nimetoa wapi kituko kile.

Lazima nipandishe GPA, kwasababu najiamini. Naamimi m/mungu kaniumba kwa ubunifu wote ambao binadamu hata ukucha hawezi kuumba. Kwahiyo acheni hizo, I am beautiful......kwanini nijishushe...lol

cc CALMAN

Ok ucjali Madame X coz you seems to be beautiful so dont complain lkn mara nying huwa inatokea hiyo issue

nilifall kwa yule msuka nywele,hawa vijana sijui wakoje natamani wangekuwa kama wewe na nicas mtei wananiboooooa sana.

hiyo ilishantokea nikala apointment na mtu nisiyemfahamu mambo ya tigo rafiki sauti yake ilkua kama kinanda yaani stereo hivi nikazimika tulipanga tukutane equoter dlil TMK nilikua wa kwanza kufika location nikamsubiri but very tacticaly nikaweka head phone maskioni na simu mfukoni ili ikipiga nipekee bila kujishikashka kuhusu mavazi nikampatia ya brothermen moja alikua kakaa mbele kwenye counter moja nikamuelekeza uje moja kwa moja counter nimcheki vizuri nikabana kwa nyuma mara akatokea whuuuuuuuuuu. nikazima simu nikaanza kaungalia jamaa alivyoka ananganganiwa afu ajui kinachoendelea akabidi nisepe

• Thanks
Reactions: amu
hayaulifaidika na nini?
ukajiona mjanjaaaaaaaaaaaakumbe bonge la ushamba

hiyo ilishantokea nikala apointment na mtu nisiyemfahamu mambo ya tigo rafiki sauti yake ilkua kama kinanda yaani stereo hivi nikazimika tulipanga tukutane equoter dlil TMK nilikua wa kwanza kufika location nikamsubiri but very tacticaly nikaweka head phone maskioni na simu mfukoni ili ikipiga nipekee bila kujishikashka kuhusu mavazi nikampatia ya brothermen moja alikua kakaa mbele kwenye counter moja nikamuelekeza uje moja kwa moja counter nimcheki vizuri nikabana kwa nyuma mara akatokea whuuuuuuuuuu. nikazima simu nikaanza kaungalia jamaa alivyoka ananganganiwa afu ajui kinachoendelea akabidi nisepe

usinicheke nilivyoumbwa nilivyoumbwa,we mzuri unavutiaaa,
hii kazi ya mola ya mola.
Haiingiliwi kazi yake mola mja acha. . . .
Nimekumbuka maneno hayo best song of taarab
lara 1 na madame b watakuja kusaidia

Naam hasa nilitaka aanze na huo ujumbe wa bold hayo mengine ngoja tuwasubiri.

ndugu yangu hawa watu wana balaa sana hum ndani

Atii?? duniani ni sehemu ya burudani sana, unakuta mtu anatumia sura ya mtu mwingine ambayo siyo yake anaipachika kwake kana kwamba ni yeye, ukimeet naye unashangaa sura ya Sokwe imejaa tele pale mgahawani inakusubiri wewe, sipachi picha sarakasi utakazofanya hapo hahahahaha!

kwani we unaenda kukutana na hiyo sura!!!!!!

na hizi ni Avatar tu,sasa kwa nii watu mnadhania
hiyo ndo itakuwa picha fulani ya mtu fulani

Enzi zile kabla ya JF/MMU ilinitokea mara 1 nikaweka appointment na binti fulani alikuwa mwanachuo, nilipokuja kutana naye duh! nilikoma .... ila ...

ukamnanilihu hivohivo,hukua na jinsi mkuu

Hilo swali ingelikuwa vyema kama ungelielekeza kwa Mungu Muumbaji maana ndiye aliyeumba kila kitu na kukiona chema mbele zake...
Ukituuliza sisi utakua watuonea tu na kututafutia laana...
Huwa nakukubali sana kwa mapointi yako swahiba ila kwa hili umetia fora yaani nakupa 100x,hivi jamani kwa nini isifike mahali watu tukawa tunapondana kwa mambo yaliyo ndani ya uwezo wetu na si kwa mambo yaliyo nje ya uwezo wetu,jamani kuna mambo ambayo ni uncontrollable yaani hakuna mtu anapenda kuwa nayo ila kwa kuwa kaumbwa hivyo anakuwa hana jinsi kwa mfano 1.sura mbaya
2.umbo baya
3.mnene au mwembamba kupindukia
4.urefu au ufupi kupindukia
5.ukilema
6.weusi au weupe wa kupindukia
7.uzezeta
Jamani hayo mambo hapo juu ni mabaya na hakuna anayependa yampate ila akishakuwa nayo mtu anakuwa hana jinsi zaidi ya kuugulia maumivu yake kimyakimya na ndani kwa ndani,kwa hiyo kama wewe umepewa kudra na mwenyezi kukosa vyote hivyo na kujaaliwa vitu vizuri mshukuru Mungu na uwaonee huruma wengine waliokosa hiyo kudra na si kuitumia nafasi hiyo kuwaponda wenzio,kwani ni kwa neema tu na kama zali wewe ukajaliwa huenda hata we ungeweza kuwa na sura mbaya vilevile kwani hakuna aliyejiumba hapa duniani laiti tungepewa nafasi ya kujiumba nadhani tungekuwa na malaika tu duniani hapa.

Ponda mambo kama vile 1.mtu kujichubua
2.kuongeza makalio na hipsi
3.uchawi
4.Ubakaji
Hayo na mengineyo mengi ni mambo yaliyo ndani ya uwezo wa mtu ambayo hata ukimponda mtu aweza jirekebisha,lakini si mambo ambayo yanahusu uumbaji wa Mungu,chondechonde kijana,hope umenisoma kijana CALMAN.

Last edited by a moderator:
Huwa nakukubali sana kwa mapointi yako swahiba ila kwa hili umetia fora yaani nakupa 100x,hivi jamani kwa nini isifike mahali watu tukawa tunapondana kwa mambo yaliyo ndani ya uwezo wetu na si kwa mambo yaliyo nje ya uwezo wetu

Asante...

Kwenye ukweli ni lazima tuseme ukweli, kwenye utani basi na tutaniane, vivyo hivyo kuonyana na mengineyo...

Huwa najizuia sana kupondea namna muonekano wa mtu ulivyo, unless niwe nafanya utani...

Ubhaponyeghe kukajha ghwa myitu!!

mkomage kupenda avatar/user name!!
siku nyingine mtakutana na majini!!

Back
Top Bottom