Wanawake wanaongoza kwa faceless

Wanawake wanaongoza kwa faceless

HORSEPOWER dah kama mie nilivyopenda Avatar yako jamani.
Nilikuwa na shauku kubwa ya kukuona.siku ile tumeonana kidogo nizimia loh kibabu kizeeeee kinatembelea fimbo hahahahahahahaha :embarrassed1::lie:
 
Kizuri chajiuza...kibaya CHAJITEMBEZA.....wanaotafuta mabwana mtandaoni ukiona hivyo mtaani/ chuoni/ kazini hana soko...so anabahatisha humu..ila wenye sifa zao washawahiwa
 
Hilo swali ingelikuwa vyema kama ungelielekeza kwa Mungu Muumbaji maana ndiye aliyeumba kila kitu na kukiona chema mbele zake...
Ukituuliza sisi utakua watuonea tu na kututafutia laana...

Like!Like !Like !Like ..
 
Back
Top Bottom