When u use ur brain instead of ur 🍆 to think, u always make the right decisionBinafsi mimi niliamua kuahirisha ndoa yangu na mpenzi wangu tuliedumu fours years kwenye uchumba Baada ya kufika kwao nikakuta mama na bibi, shangazi, mama wadogo wapo lakini, baba, babu, wajomba, baba wadogo asilimia kubwa walikuwa wameshatangulia mbele za haki
Miji hiyo yote zinaendeshwa na wanawake
Ilinifikirisha sana, nikaamua kufanya maamuzi magumu na mahari niliacha hukohuko nimeamua kutulia
👉uzuri " we men we age like wine" no Ned to hurry
Napata maswali mawili
1.je wanafariki kimazingara
2.Ni zile dawa zinazosemekana wanaume hupewa na kufa pole Pole maybe 2 to 5 years
3.Ni magonjwa yanatokana na kupiga kazi ngumu ngumu muda mrefu?
4.je ni life style tu? Mfano pimb kupita kiasi Maana wachaga kwa kuzimua ni balaa
Karibuni kwa michango
Sawa mkuuJifunze kuandika mkuu na kupangilia maneno ili ueleweke unachoandika
Kuna miaka fulani nlikuwa pande hizo kuna mtaa huo kuna nyumba kama 8,9 wamebakiwa wajane tu 😄Hatari sana.
Hatari..... 😄Hata hapa Dar es Salaam. Ukienda mahakama ya Temeke.. watu wanaachana hatari yani
Sasa hivi ni kuishi kwa machale tu..Hatari..... 😄
Ila bora muachane kuliko kumalizana
Ova
Kabisa ...mmoja akijifanya kinganganizi hutaki kumuacha mwenzako basi hapo lazima kuna kungoanaaa 😄Sasa hivi ni kuishi kwa machale tu..
Watu walio nje ya ndoa wanamalizana, walio ndani ya ndoa Wana malizana.. walio single nao wanamalizwa.. basi tafrani tu.
Wasukuma ni washamba wa rangi na kama unavyojua wachaga wengi wamejjaliwa Rangi nzuri.Uamuzi uliochukua ni sahihi! Nina rafiki yangu msukuma yeye alilipiwa mahari kabisa na mwanamke huyo wa kichaga! Huwezi ukashindana na msukuma kwa mwanamke wa kichaga! Wanawake wa kichaga wanawapenda mno wasukuma wa kiume! Sikuwahi kujua kuna nini.
Aise yule Msukuma alikoswa koswa kuawa kwenye chakula.
Baada ya kuona hivyo alimwachia kila kitu akaenda kuanza upya!
Na yeye kilichomshangaza kule uchagani wajane kwenye ukoo wa kichaga walikuwa wengi,na yeye alijiuliza hivyo hivyo lakini hakushituka mpaka yalipomkuta.
Kuna miaka fulani nlikuwa pande hizo kuna mtaa huo kuna nyumba kama 8,9 wamebakiwa wajane tu 😄
Ova
Unataka kuniambia kuwa hujui Wanaume wanazaliwa wengi kuliko wanawake na wanakufa Haraka kuliko wanawake? Kama hujui jifunze kuhusu hili ili usishangae tena vitu vya kawaida.Kuna miaka fulani nlikuwa pande hizo kuna mtaa huo kuna nyumba kama 8,9 wamebakiwa wajane tu 😄
Ova
Mimi mwenyewe msukuma napenda wachaga kinomaUamuzi uliochukua ni sahihi! Nina rafiki yangu msukuma yeye alilipiwa mahari kabisa na mwanamke huyo wa kichaga! Huwezi ukashindana na msukuma kwa mwanamke wa kichaga! Wanawake wa kichaga wanawapenda mno wasukuma wa kiume! Sikuwahi kujua kuna nini.
Aise yule Msukuma alikoswa koswa kuawa kwenye chakula.
Baada ya kuona hivyo alimwachia kila kitu akaenda kuanza upya!
Na yeye kilichomshangaza kule uchagani wajane kwenye ukoo wa kichaga walikuwa wengi,na yeye alijiuliza hivyo hivyo lakini hakushituka mpaka yalipomkuta.
Mm napenda blacks mbonaWasukuma ni washamba wa rangi na kama unavyojua wachaga wengi wamejjaliwa Rangi nzuri.
Uamuzi uliochukua ni sahihi! Nina rafiki yangu msukuma yeye alilipiwa mahari kabisa na mwanamke huyo wa kichaga! Huwezi ukashindana na msukuma kwa mwanamke wa kichaga! Wanawake wa kichaga wanawapenda mno wasukuma wa kiume! Sikuwahi kujua kuna nini.
Aise yule Msukuma alikoswa koswa kuawa kwenye chakula.
Baada ya kuona hivyo alimwachia kila kitu akaenda kuanza upya!
Na yeye kilichomshangaza kule uchagani wajane kwenye ukoo wa kichaga walikuwa wengi,na yeye alijiuliza hivyo hivyo lakini hakushituka mpaka yalipomkuta
1-hii mada kwa sababu ina mchaga ndani yake apa lazima ipate wachangiaji wengi.Binafsi mimi niliamua kuahirisha ndoa yangu na mpenzi wangu tuliedumu fours years kwenye uchumba Baada ya kufika kwao nikakuta mama na bibi, shangazi, mama wadogo wapo lakini, baba, babu, wajomba, baba wadogo asilimia kubwa walikuwa wameshatangulia mbele za haki
Miji hiyo yote zinaendeshwa na wanawake
Ilinifikirisha sana, nikaamua kufanya maamuzi magumu na mahari niliacha hukohuko nimeamua kutulia
uzuri " we men we age like wine" no Ned to hurry
Napata maswali mawili
1.je wanafariki kimazingara
2.Ni zile dawa zinazosemekana wanaume hupewa na kufa pole Pole maybe 2 to 5 years
3.Ni magonjwa yanatokana na kupiga kazi ngumu ngumu muda mrefu?
4.je ni life style tu? Mfano pimb kupita kiasi Maana wachaga kwa kuzimua ni balaa
Karibuni kwa michango
Binafsi mimi niliamua kuahirisha ndoa yangu na mpenzi wangu tuliedumu fours years kwenye uchumba Baada ya kufika kwao nikakuta mama na bibi, shangazi, mama wadogo wapo lakini, baba, babu, wajomba, baba wadogo asilimia kubwa walikuwa wameshatangulia mbele za haki
Miji hiyo yote zinaendeshwa na wanawake
Ilinifikirisha sana, nikaamua kufanya maamuzi magumu na mahari niliacha hukohuko nimeamua kutulia
uzuri " we men we age like wine" no Ned to hurry
Napata maswali mawili
1.je wanafariki kimazingara
2.Ni zile dawa zinazosemekana wanaume hupewa na kufa pole Pole maybe 2 to 5 years
3.Ni magonjwa yanatokana na kupiga kazi ngumu ngumu muda mrefu?
4.je ni life style tu? Mfano pimb kupita kiasi Maana wachaga kwa kuzimua ni balaa
Karibuni kwa michango
Life span, hivi ulishaenda kwa wasukuma vijijini, au kwa wakulya uone jinsi wanaishi mingi1-hii mada kwa sababu ina mchaga ndani yake apa lazima ipate wachangiaji wengi.
2- kwa Tanzania Kilimanjaro ndo yenye wazee wengi manake life span ni ndefu.
3-umeandika kwa ushabiki ili upate attention
nacheza na official statistics za sensa kwa Tanzania mkoa wenye watu wengi above 60yrs ni Kilimanjaro na bado mkoa ni mdogo kieneo .Life span, hivi ulishaenda kwa wasukuma vijijini, au kwa wakulya uone jinsi wanaishi mingi