Ha ha ha ha sio kusema nakupinga hapana sikupingi ila iko hivi
Ukiona dini inakazana sana kukemea uovu fulani au kumsema sana shetani tafasiri nikuwa mungu kafeli katika hilo kulipa solusheni yake.
Wape watu kumjua Mungu, wafundishe kwanini wanapaswa kumjua Mungu, wafundishe umuhimu wa Mungu, hayo maovu yote wao wenyewe wataacha tu, huwezi mfanya mtu akaacha uovu yeye binafsi asipoweza kuelewa kwanini anapaswa kuachana na uovu.
Msiwe kama chadema kila siku kusema ccm katika mada zao, kuwa kama CCM wao husema mikakati yao na mipango yao tu
Mhubiri Mungu achana na shetani yeye mwenyewe atakimbia tu