Wanawake wanaofanya kazi kwenye migahawa midogo midogo mazingira yao ya kazi siyo rafiki

Ni sahihi mwanamke kutoheshimika kwasababu anahitaji pesa?

  • Hapana

    Votes: 2 14.3%
  • Sio sahihi

    Votes: 12 85.7%

  • Total voters
    14

The chosen12

New Member
Mar 27, 2024
1
9
Yaani mwanamke/mdada anatupiwa maneno machafu ya kudhalilisha au kushikwa sehemu ambazo sio stahiki(wanaume) pasipo ridhaa yake na hawezi kusema chochote wala kukataa kwa hofu ya kupoteza mteja, sidhani kama ni sawa.

Unaweza ukasema ni wao sababu hawajiwekei mipaka lakini issue inaanzia kwa mwanaume akiwa na respect sidhani kama haya mambo yanaweza tokea anapotoa pesa kidogo ya hicho chakula anahisi amemnunua mpaka mhudumu anaweza kumtreat anavojisikia yeye.

Tuwe na heshima na kujiweka kwenye nafasi ya mtu kuona kama wewe au ndugu yako angetendewa hivyo ungefurahi na kuheshimu kazi ya mtu.
 
Aina ya wanaume wanaokula kwenye mighahawa midogomidogo wengi ni wa kipato cha chini kama boda, fundi gereji, vibarua wa ujenzi nk, huwa na vitabia fulani vya ajabu ajabu sana. Ukianzisha nao mazoea ya kijinga hawawezi kukuheshimu kabisa.
 
Yaani mwanamke/mdada anatupiwa maneno machafu ya kudhalilisha au kushikwa sehemu ambazo sio stahiki(wanaume) pasipo ridhaa yake na hawezi kusema chochote wala kukataa kwa hofu ya kupoteza mteja, sidhani kama ni sawa.

Unaweza ukasema ni wao sababu hawajiwekei mipaka lakini issue inaanzia kwa mwanaume akiwa na respect sidhani kama haya mambo yanaweza tokea anapotoa pesa kidogo ya hicho chakula anahisi amemnunua mpaka mhudumu anaweza kumtreat anavojisikia yeye.

Tuwe na heshima na kujiweka kwenye nafasi ya mtu kuona kama wewe au ndugu yako angetendewa hivyo ungefurahi na kuheshimu kazi ya mtu.
Sasa na wewe kwanini uruhusu kushikwashikwa usiwe mkali? Hata kama unatafuta hela... usitweze utu wako

Weka mipaka watu watakuheshimu
 
Sisi watoto ambao mama zetu waliwahi kua mamantilie tunaujua uchungu wa hii khadhia...😪
Maana unakuta mama ameinama ampakulia mteja, alafu libaba la watu sijui limume la watu linasogea na kumshika kiono mama huku likionyesha aina ya nyama ambayo linataka lipakuliwe kmmke..🤨
 
Yaani mwanamke/mdada anatupiwa maneno machafu ya kudhalilisha au kushikwa sehemu ambazo sio stahiki(wanaume) pasipo ridhaa yake na hawezi kusema chochote wala kukataa kwa hofu ya kupoteza mteja, sidhani kama ni sawa.

Unaweza ukasema ni wao sababu hawajiwekei mipaka lakini issue inaanzia kwa mwanaume akiwa na respect sidhani kama haya mambo yanaweza tokea anapotoa pesa kidogo ya hicho chakula anahisi amemnunua mpaka mhudumu anaweza kumtreat anavojisikia yeye.

Tuwe na heshima na kujiweka kwenye nafasi ya mtu kuona kama wewe au ndugu yako angetendewa hivyo ungefurahi na kuheshimu kazi ya mtu.
Hivi ndiyo vitu Jamii Forums wanatakiwa wa post kwenye social media platform zao nyingine

Ni tabia mbaya kwakweli
 
Ila mkuu hatupaswi kuwafanyia hivyo maana nasi tuna wake na mabinti ila wao wajiondoe katika mazingira ya kushawishi watu kutowafanyia hivyo
Kitendo cha bint kuvaa nguo inayomwacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake inapelekea wanaume kufanya hivyo pia nao wawe wakali
Kushikwa shikwa si nyongeza ya posho kwao

Pia ifike nahala nao waridhike na posho wapatayo na waongeze vipato kwa njia halali na si kutaka kishikwa natiti na matako
 
Sisi watoto ambao mama zetu waliwahi kua mamantilie tunaujua uchungu wa hii khadhia...
Maana unakuta mama ameinama ampakulia mteja, alafu libaba la watu sijui limume la watu linasogea na kumshika kiono mama huku likionyesha aina ya nyama ambayo linataka lipakuliwe kmmke..
Wanazingua sana hawa Jamaa
 
Ila mkuu hatupaswi kuwafanyia hivyo maana nasi tuna wake na mabinti ila wao wajiondoe katika mazingira ya kushawishi watu kutowafanyia hivyo
Kitendo cha bint kuvaa nguo inayomwacha wazi sehemu kubwa ya mwili wake inapelekea wanaume kufanya hivyo pia nao wawe wakali
Kushikwa shikwa si nyongeza ya posho kwao

Pia ifike nahala nao waridhike na posho wapatayo na waongeze vipato kwa njia halali na si kutaka kishikwa natiti na matako
Mkuu hao saidia mama lishe wana mabwana kibao kila sehemu anapopeleka chakula unaweza kukuta vidume hata zaidi ya watatu wanashare.

Anashikwashikwa na mabwana zake na wengine wapya wakimshika shika anafurahi kwani kipato kinaongezeka
 
Wana kazi ngumu unakuta sa 11 alfajiri kashafungua kuanza usafi na maandalizi, kufunga sa 4 kasoro nyt..ujira mdogo sana labda elf 3 kwa siku na chakula bure, ukute wale anabeba mwanae mgongoni na makazi yote hayo ila maisha haya.
 
Yaani mwanamke/mdada anatupiwa maneno machafu ya kudhalilisha au kushikwa sehemu ambazo sio stahiki(wanaume) pasipo ridhaa yake na hawezi kusema chochote wala kukataa kwa hofu ya kupoteza mteja, sidhani kama ni sawa.

Unaweza ukasema ni wao sababu hawajiwekei mipaka lakini issue inaanzia kwa mwanaume akiwa na respect sidhani kama haya mambo yanaweza tokea anapotoa pesa kidogo ya hicho chakula anahisi amemnunua mpaka mhudumu anaweza kumtreat anavojisikia yeye.

Tuwe na heshima na kujiweka kwenye nafasi ya mtu kuona kama wewe au ndugu yako angetendewa hivyo ungefurahi na kuheshimu kazi ya mtu.
Ila haya mambo ni kuyaendekeza, em ampe bao moja aone kama atarudia.
 
Back
Top Bottom