Wanawake wanao kunywa pombe hawana mvuto

Haipendezi kabisa mwanamke kunywa pombe.Kwa kweli nikisha ona mwanamke mnywaji wa pombe huwa namdharau sana na kama nilikua nina mpango nae for sure namtema mazima.


Hata mwanaume haipendezi ndugu!

Halafu ulini quote kwenye ile thread ya wadada kuleee
Bt nimeshindwa kuku quote pia cjui kwann inakata
 
mke ni mlezi wa kwanza wa familia na mara nyingi kama sio mara zote anakaa na watoto kwa asilimia kubwa, hivyo sio heshima wala sio jambo la kheri akiwa anakunywa pombe kiukweli
 
Wanaume wasio kunywa pombe ni mafalaaa... saa12 yupo hom kumuangalia house grl tu.. na niwachepukaj sana.. we drink rensponsbly saa3 npo hom.. mahaba motomoto

Khaaa mahaba motomoto huku unanuka mipombe chaaaa....!
 
kweli ndogo ukilinganisha na upande wa pili...
MJ.jpg

Huyu kapigia picha tu hizo pombe
 
Hata mwanaume haipendezi ndugu!

Halafu ulini quote kwenye ile thread ya wadada kuleee
Bt nimeshindwa kuku quote pia cjui kwann inakata

kwenye ile sred ume shusha mambo ya bible safi kabisa mpaka nikawa curious to know kama uko married?
 
Back
Top Bottom