Wanawake wanao kunywa pombe hawana mvuto

Wanawake wanao kunywa pombe hawana mvuto

Pombe haipendezi kea mwanamke wala mwanaume...

DSC00755.JPG
6651602.jpg
11sih6a.jpg
 
...hata mwanaume mnywa pombe pia hapendezi.....kwa kuwa wengine huwa wanajinyea na kujikojolea...na baadhi yao mpaka wanaliwa kiboga kwa ajili ya pombe...

We nawe mshamba... wanaojinyea sio wanaume ambao wamo umu... hatunywi local apa... we kama mlokole kahubiri hujui raha ya hii kitu inakupa wazo jipyaaa... tutolee ushamba wako apa
 
Kuna demu aliniacha mdomo wazi....ukimcheki yupo very classic nkamuuliza siku umeamua haswa kunywa mwisho ngapi, akasema sizidishi 9! Nimeshangaa sana, mwanamke hadi bia 9?

Bob unashangaa tisa... kikao kinaanza saa 11jion mpaka kumi mornn mbna chache izo
 
Haipendezi kabisa mwanamke kunywa pombe.Kwa kweli nikisha ona mwanamke mnywaji wa pombe huwa namdharau sana na kama nilikua nina mpango nae for sure namtema mazima.
Mkuu, Kama kwa mwanamke kunywa kunamkera mwanamme basi kunywa kwa mwanamme kutamkera pia mwanamke
 
Haipendezi kabisa mwanamke kunywa pombe.Kwa kweli nikisha ona mwanamke mnywaji wa pombe huwa namdharau sana na kama nilikua nina mpango nae for sure namtema mazima.

mi ndio nawapenda hao sijui kwa nini..........
 
Mwanamke wangu wa kabisa kabisa marufuku kugusa pombe, mwanamke akiwa mlevi kugongwa ni kitu rahisi sana . Kama ni kicheche tu cha kuzugia mwake sana maana ukishamtia vyombo mnateleza tu au wa kukutana juu kwa juu hautumii nguvu.
 
Back
Top Bottom