BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 4,728
- 10,257
- Thread starter
- #241
🤣🤣 Samia mwenyewe ndio bingwa wa kuabudu maiti.Kumbe ukiondoa akili za uchawa wa maiti Huwa unakuwa mtu 😂😂
Kila wiki yuko chato kusujudia.
🤣🤣 Samia mwenyewe ndio bingwa wa kuabudu maiti.Kumbe ukiondoa akili za uchawa wa maiti Huwa unakuwa mtu 😂😂
Ndiko Huwa mnakutana?🤣🤣 Samia mwenyewe ndio bingwa wa kuabudu maiti.
Kila wiki yuko chato kusujudia.
Ona samia anamuabudu Magufuli kwa heshima na adabu zote.Ndiko Huwa mnakutana?
Duu kwani wewe Huwa huagi maiti?Ona samia anamuabudu Magufuli
Sio kuaga, hapo samia anamuabudu Magufuli.Duu kwani wewe Huwa huagi maiti?
Ila komwe la mwanamke huwa burudani tosha.Akinyoa upara anakuwa kama Jadda Pinket kamfumania Will Smith.Was Arusha necessary?? Ungesema tu kuna huyu mdada, au kuna hii ndoa mke wake ni mwanasheria.
Why Arusha? Komwe lako..
Nami nazidi kukazia hapaNAKAZIA
KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI AJIRA KWA MWANAMKE
Yalimkuta emanuel ebueJichanganye funga nae ndoa na baadhi ya apartments na miradi muandike yeye kwenye hati.Utakuja lia kama mbwa Koko mwanamke hana huruma na wala haisi maumivu wala uchungu akijitoa ufahamu
Duuh mbona nimeshaelezea sababu kwenye hiyo comment uliyo quote au ulikimbilia kureply bila kuelewa mkuuBinadamu anahiitaji Ndoa zaidi akiwa na miaka 20 na 40 haijalishi jinsi na jinsia.
Ukweli Mwanamke mzee atahiitaji ndoa zaidi kuliko unavyodhani.
Kwa nini wakifikia umri huo, uolewa na yoyote ili mradi anapumua
Sasa wanawake wangekuwa wanazitaka hizo ndoa wangekuwa na hayo makelele kwa waume zao, hata wanawake hawazitaki ndoa ila kutwa mnawasemea kuwa wanazitaka kiufupi dunia ya sasa jinsia zote, asilimia kubwa hawataki ndoa ila mwisho wa siku uzeeni wanaoteseka zaidi ni wanaume kuliko wanawakeUnapenda sana ligi wewe. Sasa wanaume wenyewe wanaikandia ndoa hata waliooa tunakesha nao bar ukiwauliza vipi wanasema home makelele halafu wewe upo hapa unasema ndoa ina umuhimu kwa wanaume, yaani wanaume wenyewe hawaitaki ila wewe ambae sio mwanaume unasema ina umuhimu kwao, hivi ni mzima kweli wewe?
Usicho elewa nini?Mkuu hebu andika kitu cha kueleweka quit beating around the bush
We jamaa umung'ang'ania kutaja "mama, mama,..."Sawa nawaza kwamba mama yako ni maskini ndio maana yupo na mzee wako au sio
Wajibu wa wanawake kufungua thread za kudiscuss weakness za wanaumePamoja na kuwapenda na kuwanyenyekea hao 'waume' zao kwa dhati ila mwisho wa siku wameambulia usaliti na kuachwa kwahiyo hivyo ndivyo mnavyotaka, kuwa wanawake siku zote ndio wawe decent bila kujali wanaume zao ni watu wa aina gani ndio maana nasema msilaumu wanawake walioamua kuwa wabinafsi, sababu hamjui wamepitia mangapi toka kwa wanaume wasio na shukurani kama hao lakini cha ajabu maovu ya wanaume wenzenu huwa hamyakemei na mnayaona sawa kabisa
Wewe umesema kwamba nimekana kanuni ya asili, na kwamba nilichokiandika ndicho kilichojaza subconscious mind yangu, ndio ueleze kivipi na inahusiana vipi na ile comment yangu uliyoquoteUsicho elewa nini?
Ni nani anayeamua kwamba kufungua threads kuhusu jinsia fulani ni wajibu wa jinsia fulani, mnafungua threads za kutukana wanawake sababu ya tabia zao ambazo zinasababishwa na tabia zenu, halafu badala ya kujadili causes mnajadili consequencesWajibu wa wanawake kufungua thread za kudiscuss weakness za wanaume
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app