Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,563
- 5,371
Hela hana kamaliza chuo halafu analeta ubishoo wa kulamba midomoHana hela
Hela hana kamaliza chuo halafu analeta ubishoo wa kulamba midomoHana hela
Anasema mtu hutakiwi kuingia kwenye mahusiano kwa lengo la kupata mahala pa kupozea kiu ya mwili [emoji28][emoji28]Kuna nini hapa
Jibu liko kwenye maelezo yako. Umesema mwenyewe nanukuu ''ili nipate mahala pa kupozea kiu yangu ya kimwili''. Hakuna mwanamke mwenye akili timamu atayekubali kuwa sehemu ya kupozea kiu ya mwili ya mwanaume unless uende kwa malaya ambako wala huna haja ya kuongea bali fedha zako zinaongea.
Hapana, za kubadilishia mboga zipo mkuu!Hana hela
[emoji28][emoji28] Dah! Mbona mnatoka nje ya mada wakuu?Hela hana kamaliza chuo halafu analeta ubishoo wa kulamba midomo
Jitahid ubadilishe huu Muonekano ushamaliza chuo jamaa, nywele weka kawaida, vaa mashati, vaa formsix... kuwa smart ukiwasimamisha wakikimbia nije nidai pesa hapa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aisee, shukhrani mkuu!Jitahid ubadilishe huu Muonekano ushamaliza chuo jamaa, nywele weka kawaida, vaa mashati, vaa formsix... kuwa smart ukiwasimamisha wakikimbia nije nidai pesa hapa
Brother hapo juu hiyo picha kama kajamaa flan konda dala dala tu
Dah, hapa ugenini wamenisusa wakati mimi ndo napendeza kupita wote, swaag boy, pale UDSM CoAF walikuwa wananiita Harmo Bébé, sukari ya 1st year
[emoji15][emoji15] Duh, kibao kimegeuka kilichobaki ni kukimbia uzi tu [emoji1787][emoji1787]Bitoz Sio
Kuwa smart ukiwa hivyo hamna mwanamke wa ushwahilini atakae kukataa... ni dharau kwanza sijui una bachelor kuja kulia lia unakataliwa na wadada wauza maandazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aisee, shukhrani mkuu!
[emoji28][emoji28] Hapana mkuu
Wameamua kunitolea uvivu kwa kweli [emoji1787]Ha ha haa
Maana hakuna namnaWameamua kunitolea uvivu kwa kweli [emoji1787]
Nikitoka hapa, kila nitakaemfuata kumtongoza akaleta miyeyusho namkata makofi [emoji34] Ni mwendo wa kunipatia vipochi manyoya kwa lazima [emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Au nikuombe wewe hicho kipochi manyoya[emoji24][emoji24]Maana hakuna namna
Kuna MTU anakinyonyoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Au nikuombe wewe hicho kipochi manyoya[emoji24][emoji24]
Acha ushamba, sasa kama wana njaa si wamkubali jamaa wale hela zake? Kabila gani wewe boss?Unaweza ukahisi swaga zako zinawatisha kumbe una sura ngumu iliyokaa kijambazi ndio inayowaogopesha.
Pia jitathmini swaga za kutongoza maana kuna mstari mwembamba sana baina ya kujiamini na dharau. Unaweza kuta unaleta pozi za nyodo unapotongoza ukidhani ni ma confidence kupelekea kukimbiwa.
Mwisho wa yote kuna sound moja tu ambalo ni universal, huwa halifeli. Ngawira, mtonyo, chapaa aka muamala. Ita demu umpe 5000 ya vocha uone kama hatokutafuta hata kama una sura ngumu kama Remmy Ongala.
Ukute unawaita huku unalamba lamba midomo kama nyoka maneno matupu wakati wenzio wana njaa, lazima watoke nduki.
[emoji28] Akimaliza mvike kifuko, apige tako zake mbili akojoe aondoke, ili mimi nije nikichachue, speed 360km/h. Kuna uzi fulani nilikuta comment yako ya kutaka de libolo Ndoige linalokata kona, yaani PuPuPuuu.
Kuna MTU anakinyonyoa
Kuna ukweli hapa, nimefikiria naona inaweza kuwa ni sababu [emoji419][emoji419]Wasichana wengi wa kitanzania wana ushamba mno wa wanaume watanashati, hapo hawajiamini kama umeweza kuwafuata. Hawajiamini wanajua unawachora na vile wanaona wewe ni matawi ya juu na siyi hadhi yao.