Sicario poison
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,327
- 4,575
Ndiyo subiri subiri uwe mwenyeji[emoji28][emoji28][emoji28] Kumbe ni suala la muda tu!?
Ndiyo subiri subiri uwe mwenyeji[emoji28][emoji28][emoji28] Kumbe ni suala la muda tu!?
Ila anaimba vizuri sanaKama sura yako ni kama lodymusic bado una safari ndefu sana yakupiga puchu!
Kumbe ni COAF ndio Maana mademu wanakukataa wewe jamaa ni washamba/mkulima wanyamwezi ni UDBS hiyo ishaelezea kila kitu, acha ujingaDah, hapa ugenini wamenisusa wakati mimi ndo napendeza kupita wote, swaag boy, pale UDSM CoAF walikuwa wananiita Harmo Bébé, sukari ya 1st year
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jaribu kuendesha gari hata ikiwa namba D, Waite ukiwa ndani ya gari. Usiwaite ukiwa unatembea kwa mguu na unanuka jasho.
Dah! kumbe natakiwa kuanza kuimba vizuri aisee. Kumbe mtu ukiimba vizuri hata sura ikiwa mbaya warembo wanakuona handsome?Ila anaimba vizuri sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Awapi!Kumbe ni COAF ndio Maana mademu wanakukataa wewe jamaa ni washamba/mkulima wanyamwezi ni UDBS hiyo ishaelezea kila kitu, acha ujinga
Waaminishe watu si utume picha kama haujavaa mashati ya vitenge hapo Mzee wa kilimo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Awapi!
Nikuambie tu...wanawake wengi matured haawapend wanaume dizaini hii ...ngumu sana kumkuta mwanamke anayejitambua akadate na type hiZi.....🚮[emoji28][emoji28][emoji28]Aisee!
View attachment 2392046
[emoji28][emoji28][emoji28] Hata wa Uswahilini mkuu [emoji26][emoji26]?Nikuambie tu...wanawake wengi matured haawapend wanaume dizaini hii ...ngumu sana kumkuta mwanamke anayejitambua akadate na type hiZi.....[emoji706]
Jibu liko kwenye maelezo yako. Umesema mwenyewe nanukuu ''ili nipate mahala pa kupozea kiu yangu ya kimwili''. Hakuna mwanamke mwenye akili timamu atayekubali kuwa sehemu ya kupozea kiu ya mwili ya mwanaume unless uende kwa malaya ambako wala huna haja ya kuongea bali fedha zako zinaongea.Nimetimiza wiki ya pili tokea kuhamia kwenye makazi haya mapya. Kama ilivyo kwa mwanaume lijal, ilinipasa kutengeneza mahusiano mapya ya karibu ili nipate mahala pa kupozea kiu yangu ya kimwili.
Kusema kweli, nimehamia uswazi nikitokea maeneo yenye hadhi yake. Siyo kwamba niko tofauti sana na vijana niliyowakuta huku, labda tu katika ongea yangu na muonekano umeongezeka kidogo, si mnajua tena uraibu wa maisha ya chuo na hali halisi ya maisha?
Ndani ya wiki ya kwanza tokea kuhamia hapa nilikuwa kauzu, sikutaka kuzungumza na binti yeyote hapa mtaani, lengo kuu hasa lilikuwa ni kusoma mazingira kwanza.
Wiki ya pili ndipo nikaanza kutupia nyavu, cha ajabu wengi wao nikiwasimamisha barabarani hawasimami badala yake huongeza kasi, wengine najaribu kwenda nao sambamba ila wanajawa na uoga, hata wanapozungumza wanakuwa ni watu wa kutetemeka!
Wengine huwa wanapita kwenye njia inayopita karibu na mahali nilipohamia, ila baada ya kuwatongoza hubadili njia. Kuna binti tuliahidiana nimuumize siku ya jana, lakini naye kapotea jumla! Lakini ninapoingia kwenye baa, vyombo vya usafiri au wanachuo nawanasa kirahisi tu kama kawaida tu.
Shida itakuwa wapi wakuu?
[emoji848][emoji848][emoji848] Lakini lengo kuu la mahusuano kwa mwanaume si ni kuchakata mbususu ili kupunguza sumu kwa njia halali mkuu!?Jibu liko kwenye maelezo yako. Umesema mwenyewe nanukuu ''ili nipate mahala pa kupozea kiu yangu ya kimwili''. Hakuna mwanamke mwenye akili timamu atayekubali kuwa sehemu ya kupozea kiu ya mwili ya mwanaume unless uende kwa malaya ambako wala huna haja ya kuongea bali fedha zako zinaongea.
umesagiwa kunguni esp.kama wanaume wenyeji wanakuogopa kwa kupendeza, au swaga kali watu washamaliza ushamwagiwa tope la ukimwi habari ndio hioNimetimiza wiki ya pili tokea kuhamia kwenye makazi haya mapya. Kama ilivyo kwa mwanaume lijal, ilinipasa kutengeneza mahusiano mapya ya karibu ili nipate mahala pa kupozea kiu yangu ya kimwili.
Kusema kweli, nimehamia uswazi nikitokea maeneo yenye hadhi yake. Siyo kwamba niko tofauti sana na vijana niliyowakuta huku, labda tu katika ongea yangu na muonekano umeongezeka kidogo, si mnajua tena uraibu wa maisha ya chuo na hali halisi ya maisha?
Ndani ya wiki ya kwanza tokea kuhamia hapa nilikuwa kauzu, sikutaka kuzungumza na binti yeyote hapa mtaani, lengo kuu hasa lilikuwa ni kusoma mazingira kwanza.
Wiki ya pili ndipo nikaanza kutupia nyavu, cha ajabu wengi wao nikiwasimamisha barabarani hawasimami badala yake huongeza kasi, wengine najaribu kwenda nao sambamba ila wanajawa na uoga, hata wanapozungumza wanakuwa ni watu wa kutetemeka!
Wengine huwa wanapita kwenye njia inayopita karibu na mahali nilipohamia, ila baada ya kuwatongoza hubadili njia. Kuna binti tuliahidiana nimuumize siku ya jana, lakini naye kapotea jumla! Lakini ninapoingia kwenye baa, vyombo vya usafiri au wanachuo nawanasa kirahisi tu kama kawaida tu.
Shida itakuwa wapi wakuu?
[emoji15] Duhumesagiwa kunguni esp.kama wanaume wenyeji wanakuogopa kwa kupendeza, au swaga kali watu washamaliza ushamwagiwa tope la ukimwi habari ndio hio
Kma lengo lako hilo per se basi malaya ndiyo watakufaa.[emoji848][emoji848][emoji848] Lakini lengo kuu la mahusuano kwa mwanaume si ni kuchakata mbususu ili kupunguza sumu kwa njia halali mkuu!?
Kuna nini hapa[emoji15] Mh! mzabzab
Hiyo ndio sababu hapo juu haupati wanawake[emoji28][emoji28][emoji28]Aisee!
View attachment 2392046
Kuna nini hapa
Hana helaJamaa analalamika hapati Wanawake dar makazi mapya