Nimetimiza wiki ya pili tokea kuhamia kwenye makazi haya mapya. Kama ilivyo kwa mwanaume lijal, ilinipasa kutengeneza mahusiano mapya ya karibu ili nipate mahala pa kupozea kiu yangu ya kimwili
Kusema kweli, nimehamia Uswazi nikitokea maeneo yenye hadhi yake. Sio kwamba niko tofauti sana na vijana niliowakuta huku, labda tu katika ongea yangu na personality imeadvance kidogo, si mnajua tena addiction ya maisha ya chuo in real life situation
Ndani ya wiki ya kwanza tokea kuhamia hapa nilikuwa kauzu, sikutaka kuzungumza na binti yeyote hapa mtaani, lengo kuu hasa lilikuwa ni kusoma mazingira kwanza
Wiki ya pili ndipo nikaanza kutupia nyavu, cha ajabu most of them nikiwasimamisha barabarani hawasimami badala yake huongeza speed, wengine najaribu kwenda nao sambamba ila wanajawa na uoga, hata wanapozungumza wanakuwa ni watu wa kutetemeka! Wengine huwa wanapita kwenye njia inayopita karibu na mahali nilipohamia, ila baada ya kuwatongoza hubadili njia. Kuna binti tuliahidiana nimuumize siku ya jana, lakini naye kapotea jumla! Lakini ninapoingia kwenye mabar, vyombo vya usafiri au wanachuo nawanasa kirahisi tu kama kawaida tu
Shida itakuwa wapi wakuu?