Wanawake wananikataa na kuniogopa hapa ugenini

Wanawake wananikataa na kuniogopa hapa ugenini

[emoji28][emoji28]Aisee! Na nani sasa wakati bado sijawa na marafiki wa kuzoeana nje ndani
i.e best friends
Si anatokea mmoja mwenye uswahili swahili mbaya anasema huyo mgeni uko alikotoka jamii imemkataa sababu anasambaza Ukimwi.
 
Si anatokea mmoja mwenye uswahili swahili mbaya anasema huyo mgeni uko alikotoka jamii imemkataa sababu anasambaza Ukimwi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ayayayah, sasa hili lishakuwa balaa
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
hizi mambo ua zinaanzaga hivihiv mwisho wa siku unaona milad ayo na yale maandishi yake ya wino mwekundu wa kukolea 'KIJANA ABAKA MBUZI ZIZINI KWAKE'😅 jitahid uoe kijana
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
Mi ni wa kawaida tu, mrefu, mweusi, kibesi, nina ka apple kwa shingo, sio mnene sana, sura ya kazi, sicheki cheki ovyo! Sipendi ujinga kiivyo! Kwa ufupi nina mwonekano bomba tu kuanzia personality hadi appearance kiasi cha kula pisi nyingi nilipokuwa chuoni. Hadi mtoto wa mbunge x niliwahi kumtafuna
Kwanza umri wako kisha ni inbox jina la mtoto wa mbunge ili nipime kama unajua kutongoza
 
hizi mambo ua zinaanzaga hivihiv mwisho wa siku unaona milad ayo na yale maandishi yake ya wino mwekundu wa kukolea 'KIJANA ABAKA MBUZI ZIZINI KWAKE'[emoji28] jitahid uoe kijana
[emoji28][emoji28]
 
Utakua na code za kichuo chuo maana wanafunzi wa chuo hambadikiki kutokana na mazingira nyiny Kila sehem mnazan mpo chuo mkiwa mtaani mnataka kuwa kiwanafunz kuwa dereva boda boda maana madem wa uswahilini wanawapenda sana dereva boda boda
 
Nimetimiza wiki ya pili tokea kuhamia kwenye makazi haya mapya. Kama ilivyo kwa mwanaume lijal, ilinipasa kutengeneza mahusiano mapya ya karibu ili nipate mahala pa kupozea kiu yangu ya kimwili.

Kusema kweli, nimehamia uswazi nikitokea maeneo yenye hadhi yake. Siyo kwamba niko tofauti sana na vijana niliyowakuta huku, labda tu katika ongea yangu na muonekano umeongezeka kidogo, si mnajua tena uraibu wa maisha ya chuo na hali halisi ya maisha?

Ndani ya wiki ya kwanza tokea kuhamia hapa nilikuwa kauzu, sikutaka kuzungumza na binti yeyote hapa mtaani, lengo kuu hasa lilikuwa ni kusoma mazingira kwanza.

Wiki ya pili ndipo nikaanza kutupia nyavu, cha ajabu wengi wao nikiwasimamisha barabarani hawasimami badala yake huongeza kasi, wengine najaribu kwenda nao sambamba ila wanajawa na uoga, hata wanapozungumza wanakuwa ni watu wa kutetemeka!

Wengine huwa wanapita kwenye njia inayopita karibu na mahali nilipohamia, ila baada ya kuwatongoza hubadili njia. Kuna binti tuliahidiana nimuumize siku ya jana, lakini naye kapotea jumla! Lakini ninapoingia kwenye baa, vyombo vya usafiri au wanachuo nawanasa kirahisi tu kama kawaida tu.

Shida itakuwa wapi wakuu?

Kama sura yako ni kama lodymusic bado una safari ndefu sana yakupiga puchu!
 
Unatongoza vibinti vya sekondari? karan lutha
[emoji28][emoji28][emoji28] Nitongoze wa shule ya msingi mkuu? Au wake za watu? (Natania bhana)

Ila huku Uswazi, hawaeleki kama wanasoma au hawasomi, yaani wote ni wale wale (undefined) 16yrs kaolewa na mtoto juu. 21yrs anadanga na njia

Confused[emoji37][emoji37]
 
Utakua na code za kichuo chuo maana wanafunzi wa chuo hambadikiki kutokana na mazingira nyiny Kila sehem mnazan mpo chuo mkiwa mtaani mnataka kuwa kiwanafunz kuwa dereva boda boda maana madem wa uswahilini wanawapenda sana dereva boda boda
[emoji28]Hilo nimelishuhudia sana mkuu, kuna binti mkali tu, ana tabia njema a.k.a tako mbinuko na sura ya mama, nimemlia rada hadi kituo cha bodaboda, kumbe mmojawao anakula pale, swaag zangu zikageuka maji! Bila shaka alikuwa anakwenda kuliwa. Huyu binti nikikutana nae siku hizi anakatiza njia
 
Back
Top Bottom