Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,785
- 21,030
Chief mbona unaifanya inakuwa personal tena?Acha ushamba, sasa kama wana njaa si wamkubali jamaa wale hela zake? Kabila gani wewe boss?
Mwenye uzi wake ambae comment ilimuhusu alishajibu lakini naona tunaenda mpaka kwenye kabila tena na kuitana washamba juu.
Anyways maisha ni mafupi mno kuchukulia kila kitu kwa maana yake halisi. Pia stress zako za maisha usizihusishe na kila mtu ndugu. Uwe na jioni njema.