Wanawake wanalazimisha kuolewa, hii style ni hatari

Wanawake wanalazimisha kuolewa, hii style ni hatari

Nimekushusha grade uliposema mwanamke unayeishi nae humpendi
Yaani mpaka umpe mimba na ukubali kukaa nae 1.5 yr bado unasema kwa ujasiri kwamba ukaamua kumtongoza mwanamke hata ambae hukuwahi kumjua?

We Malaya mkuu
Samahani lakini
Wazee wa hit and run ndio hawa.
 
ungemaliza na iyo ya mwanzo tu. umekuja kuchomeka nyingine apa kati umearibu
 
Yaan picha la cape verde lilitakiwa lije part 2 usingechanganya ba hili la mama mtoto aisee
 
Ulizanza vizuri sana... Nikaanza kukuelwa... Ghafla ukaanza kuingiza mambo ya ungo hapo ndiyo umeharibu kila kitu...


Acha uongo bhana..
 
Hahahahaha umenifurahisha kweli apo jinsi ulivomalizia... Ety tusiwe waongo akati nyinyi ndo mnatufundisha
 
Back
Top Bottom