Wanawake wanalazimisha kuolewa, hii style ni hatari

Wanawake wanalazimisha kuolewa, hii style ni hatari

Mkuu ili mtu aelewe vizuri ulichoandika na kumaanisha basi lazima awe at least na PHD.

Mimi binafsi cjafika kwenye level ya PhD ndo maana nimeona giza tu.

Cjaelewa chachote.
Hapo kuna story mbili mi namwanamke ninayetaka kumwacha kulingana na nyingine mwanake kujifanya wa mbele kumbe anatokea Arusha
 
ulivyokuwa unaandika ulikula maharage ya wapi mkuu? yangekuwa ya mbeya sidhani ungeshindwa kuipangilia story yako
Umelewa story au haujaelewa ,mana wapo walio elewa so watu kama nyie hamkosekani vichwa vyenu vya kuku, ukianza kusoma mwanzo mpaka unafika mwisho umesahau ya mwanzo.sorry for disturbing your Brain.
 
Nadhani stori uliyokusudia ni demu wa Cape Verde. Huyu uliyezaa umemchomekea ili kuvuta attention za watu tu. Kwa hiyo mtoto wenu atakuwa mkubwa sasa na mmezaa mwingine? au mkeo bado ana ujauzito wa mtoto wa pili?
 
Umelewa story au haujaelewa ,mana wapo walio elewa so watu kama nyie hamkosekani vichwa vyenu vya kuku, ukianza kusoma mwanzo mpaka unafika mwisho umesahau ya mwanzo.sorry for disturbing your Brain.
utawekaje story mbili zisizo na kichwa wala miguu walio kuelewa mazombi wenzio hahahaha
kwanza uache kuzalilisha sekta yetu ya ndoa kwa akili hiyo wewe bado hii sekta haikufai unashindwa kumtambua mwanamke huku unaishi nae nina wasi wasi na wewe

kwanza ni myth not logical ni ndoto uliyoota baada ya kuvimbiwa
 
Nadhani stori uliyokusudia ni demu wa Cape Verde. Huyu uliyezaa umemchomekea ili kuvuta attention za watu tu. Kwa hiyo mtoto wenu atakuwa mkubwa sasa na mmezaa mwingine? au mkeo bado ana ujauzito wa mtoto wa pili?
Hana ujauzito wala mtoto mwingine mkuu
 
utawekaje story mbili zisizo na kichwa wala miguu walio kuelewa mazombi wenzio hahahaha
kwanza uache kuzalilisha sekta yetu ya ndoa kwa akili hiyo wewe bado hii sekta haikufai unashindwa kumtambua mwanamke huku unaishi nae nina wasi wasi na wewe

kwanza ni myth not logical ni ndoto uliyoota baada ya kuvimbiwa
Aya nimedit kwa kuongeza maneno uelewe mkuu ,kama haujaelewa hapo sio kosa langu.
 
Mwanzoni2 ndo nmekuelewa huku chini cjakuelewa kabisaaaa hebu rekebisha huku chini pakae vizur then ntarudi !!!!!???cjapaelewa chini mkuu
 
Bongo movie bana, toka kanumba afariki basi mnatapatapa sana we umeleta story yako huku ili uone itapataje muitikio, ila umetumia akili ingekuwa ni movie tayar ungeangalia na huyo ulompa mimba tu..
 
Bongo movie bana, toka kanumba afariki basi mnatapatapa sana we umeleta story yako huku ili uone itapataje muitikio, ila umetumia akili ingekuwa ni movie tayar ungeangalia na huyo ulompa mimba tu..
Sio bongo movie hapa tunazungumzia ukweli.
 
Vitoto vilivyomaliza maliza form four hivi vinajifunza kuandika IMLA
 
Mimi ninaishi na mwanamke ambaye nimezaa mtoto mmoja ila sababu ya kuishi naye ni ujauzito wa huyo mtoto kwani nilimuhaidi nitalea mtoto Ila yeye aishi uko nyumbani kwao, akakataa na kudai atatoa mimba hawezi kulea mimba peke yake na kama nitamtumia hela ya matumizi basi angeitumia kutoa mimba, nikaona bora aje nyumbani nilee mimba na mtoto akitimiza miaka 1.5 aondoke, kweli nimeishi na huyo mwanamke kwa kipindi hicho chote.

Baada ya hapo nikamkumbushia ahadi tuliyo agana, yeye hakukubali kuondoka, alinifikisha kwa viongozi wangu na mimi nikawaeleza juu ya ahadi yetu na nikawaambia kila kitu nilichonacho achukue kasoro nyumba anaweza akaenda akaishi pale mana bado finishing kidogo tu ikamilike Ila hyo nyumba ni ya mtoto so ataishi pale kwaniaba ya mtoto mana yeye anaweza akaolewa nyumba itabaki ya mtoto, yule mwanamke akakataa anadai anataka kuishi na mimi, wakati huo mi kuishi naye kama naigiza tu maana moyoni hayupo, ila kwa kipindi sikuwa na mahusiano na mwanamke yoyote zaidi ya wale wakudunga siku moja unasepa.

Basi kuna siku napigiwa Simu na demu anaongea kingereza anadai anashuka kwenye ndege anatokea cape Verde kwa hyo yeye yuko mwalimu nyerere airport ila kuna rafiki yake anaitwa Vandra yuko Mexico amempa namba yangu na amemtambulisha naitwa Mark John na naihitajika niende bandari ya Dar kuna kontena la mzigo limetumwa kwangu, wakati mimi siitwi hivyo , nikamwambia ume wrong No.

Akawa ananisumbua kila Mara kwenye Simu wakati uo anaongea kingereza slangy ya kuminya maneno kwa hyo kumsikia napata kazi, nikamwambia tuna SMS basi hapo kidogo tukaelewana, ilipita wiki 1 baadae nikamtongoza akanielewa akaniambia yeye amekulia cape Verde ila wazazi wake wako Tanzania na amewahi kuishi hapa na pia anakifahamu kiswahili kidogo kwa hiyo tukaanza kuchati kiswahili baadae akaniambia angependa kubaki Tanzania na anataka kuwa tour guide.

Kumbuka wakati huo mimi mwanamke ninyeishi naye simpendi nikaona ngoja nimwambie aje tuonane kweli alikuja songea akitokea Arusha tena kwa nauli yake, nilimpeleka guest za uswazi mana alishaniambia amenikubali kwa kila hali,nilikula mzigo kisawasawa mwenyewe akasema hajawahi enjoy sex kama alivyoenjoy kwagu.

Nikampangishia nyumba uswazi, vyumba bei raisi na mimi nikahama Kota nyumba ya serikali ambako kuna yule mwanamke na mtoto wangu na kuamia kwa huyu mwanamke niseme ukweli alinivutia umbo lake na hata sura yake,
nilimwadisia kuhusu yule mwanamke mwenye mtoto wangu akasema tukiwa pamoja tutaweza kumpa mwanake niliyezaa nae kiasi cha hela million 3 kama mtaji na nyumba niliyojenga nimwachie kwa sababu anamtoto wangu, akaniambia kuhusu swala la hela nispate taabu yeye anajuana na wazungu wengi ni marafiki zake kwa hyo akiwa request kuhusu fedha watampa ilimradi wajue anaenda kufanyia nn, pia ana foundation ya kulea watoto uko cape Verde inamlipa kutokana na wafadhili kuwanao wengi na hapa kwangu aliniambia atafungua kwa ajili ya street children na ahadi kibao kumbe alikuwa ananitongoza,
Kunakipindi mwanake niliyezaa naye akawa ananisumbua,sasa yeye akawa animbia tujitahidi tufunge ndoa ndani ya miezi 3 ili kuondokana na usumbufu wa uyo mwanamke

Shida nilipoanza kumchunguza nikamuuliza Cape Verde iko wapi akaniambia Maputo Mozambique wakati mimi najua iko West Africa, nikamuuliza mji mkuu wake akasema mbona namuuliza maswali mengi simwamini, akapaniki anaongea kingereza broken,nikamuliza kireno unakifahamu akawa hanajibu, mana kuna rafiki zangu wanakifahamu so unajua uku mpakani na msumbiji. nikamrudisha alikotoka Arusha na kublock namba yake ya Simu huo ukawa ndo mwisho wa picha.

Wanawake msiwe waongo mnataka kuwa wanaume.
Moderators mmetuletea nn hum
Nn tumewakosea

Zwazwa
 
Back
Top Bottom