Ndara Mbovu
Senior Member
- Feb 28, 2017
- 155
- 83
- Thread starter
- #21
Situmii viroba wala kilevi chochote.Naona amemalizia viroba vya mwisho mwisho leo [emoji23][emoji23][emoji23]asubuhi asubuhi hahahhaha
Situmii viroba wala kilevi chochote.Naona amemalizia viroba vya mwisho mwisho leo [emoji23][emoji23][emoji23]asubuhi asubuhi hahahhaha
utoto kazi sometimes, ukikua utajitambua
Hapana nilikuwa natafuta mwanamke wakufunga nae ndoa mana nimechoka kuzini.Bado pepo la uhuni linakuandama ndo maana mwili wako unawaka tamaa.
Kataa kubali, hata huyo unayedhani ni mzuri na unampenda ukishakua nae kwa muda utakuja kuona humpendi tena kama mwanzo
Haka kamchezo ka mapenzi kanihitajigi hasira basi..Wanawake tunasimangwa sana mpaka hawa viumbe hawatuthamini
plz plz plz, usikubli kubebe mimba ukaishi tofauti na huyo mwenye mimba mambo eti atakutumia pesa ya matumizi? Huo ni ujinga.
Hivi wanaume mmerogwa na nani? Yaani unajidai kuwa huyo mwanamke humpendi wakati uliweza kumpanua miguu? Kwann hukuwapanua hao unaowapenda? Bure kabisa
Nilikuwa nanyege na demu wangu kipindi hicho alikuwa chuo baada kusikia nimempa mimba mwanamke akanimwaga.Wanawake tunasimangwa sana mpaka hawa viumbe hawatuthamini
plz plz plz, usikubli kubebe mimba ukaishi tofauti na huyo mwenye mimba mambo eti atakutumia pesa ya matumizi? Huo ni ujinga.
Hivi wanaume mmerogwa na nani? Yaani unajidai kuwa huyo mwanamke humpendi wakati uliweza kumpanua miguu? Kwann hukuwapanua hao unaowapenda? Bure kabisa
Hapana nilikuwa natafuta mwanamke wakufunga nae ndoa mana nimechoka kuzini.
Bado pepo la uhuni linakuandama ndo maana mwili wako unawaka tamaa.
Kataa kubali, hata huyo unayedhani ni mzuri na unampenda ukishakua nae kwa muda utakuja kuona humpendi tena kama mwanzo
wewe mtoto kumbe upo? nilijua kama yuleeeeee umesafirishwaKUMBE VYUO BADO KUFUNGULIWA EH
Na wewe unakichwa kizito kuelewa .Pole naona naonaumeumiza kichwa kuisoma story nakuielewa .ulivyokuwa unaandika ulikula maharage ya wapi mkuu? yangekuwa ya mbeya sidhani ungeshindwa kuipangilia story yako
wewe mtoto kumbe upo? nilijua kama yuleeeeee umesafirishwa
hahaha bahati yako yule jamaa kasi yake......... maana neno mzigo yeye anajua ni yale meupenilikua kupeleka mzigo mkuu
HapanaKwahiyo umerudi kwa mama mtoto wako?
Mkuu ili mtu aelewe vizuri ulichoandika na kumaanisha basi lazima awe at least na PHD.Mimi ninaishi na mwanamke ambaye nimezaa mtoto mmoja ila sababu ya kuishi naye ni ujauzito wa huyo mtoto kwani nilimuhaidi nitalea mtoto Ila yeye aishi uko uko nyumbani kwao akakataa na kudai atatoa mimba hawezi akalea mimba peke yake na kama nitamtumia ela ya matumizi basi angeitumia kutoa mimba ,nikaona bora aje nyumbani nilee mimba namtoto akitimiza miaka 1.5 aondoke,demu akavunja hiyo ahadi.
Basi kuna siku napigiwa Simu na demu anaongea kingereza anadai anashuka kwenye ndege anatokea cape Verde kwa hyo yeye yuko mwalimu nyerere airport ila kuna rafiki yake anaitwa Vandra yuko Mexico amempa namba yangu na amemtambulisha naitwa Mark John wakati Mimi siitwi hvyo ,nikamwambia ume wrong No.akawa ananisumbua kila Mara kwenye Simu wakati uo anaongea kingereza slangy ya kuminya maneno kwa hyo kumsikia napata kazi ,nikamwambia tuna SMS basi hapo kidogo tukaelewana ,ilipita wiki 1 baadae nikamtongoza akanielewa akaniambia yeye amekulia cape Verde ila wazazi wake wako Tanzania na amewahi kuishi hapa na pia anakifahamu kiswahili kidogo kwa hyo tukaanza kuchati kiswahili baadae akaniambia angependa kubaki Tanzania na anataka kuwa tour guide ,
Mimi mwanamke ninyeishi naye simpendi nikaona ngoja nimwambie aje tuonane,kweli akuja mi Niko songea yeye kipindi hicho yuko Arusha ,kwa hyo alikuja songea nilimpeleka guest za uswazi mana aliniambia amenikubali kwa kila hali,nilikula mzigo kisawasawa mwenyewe akasema hajawahi enjoy sex kama alivyoenjoy kwagu ,
Nikampangishia nyumba uswazi vyumba bei raisi na Mimi nikahama kota ambako kuna yule mwanamke na mtoto wangu na kuamia kwa huyu mwanamke niseme ukweli alinivutia umbo lake na hata sura yake nilimwadisia kuhusu yule mwanamke mwenye mtoto wangu akasema tukiwa pamoja tutaweza kumlipa mwanake niliyezaa nae kiasi cha ela million 3 kama mtaji na nyumba niliyojenga nimwachie kwa sababu anamtoto wangu,akaniambia yeye anajuana na wazungu wengi pia ana foundation ya kulea watoto uko cape Verde inamlipa kwa hyo tutafanikisha kulipa kiasi hcho cha ela mana muda uo nilikuwa mabaga,
Shida nilipoanza kumchunguza nikamuuliza cape Verde uko wapi akaniambia Maputo Mozambique wakati Mimi najua iko West Africa, nikamuuliza mji mkuu wake akasema mbona namuuliza maswali mengi simwamini, akapaniki anaongea kingereza broken, nikamrudisha alikotoka Arusha na kublock namba yake ya Simu uo ukawa ndo mwisho wapicha,
Wanawake msiwe waongo mnataka kuwa wanaume.
Hapana ni Leo nijiregest humu.Aisee, ikabidi jana ufungue ID mpya kwa ajili ya hii thread!
Ni Leo hii nimejiandikisha jamii forum,kwa hyo mi in member mpya kwa ishu hii baada ya kufikilia sana ili jambo nikaona niwashikishe labda mmekutana Nayo hayo.Aisee, ikabidi jana ufungue ID mpya kwa ajili ya hii thread!