Wanawake wanajisababishia wenyewe kutokuolewa

Acha tu nna watoto wanne kila mmoja na baba ake na nipo singo natafuta mchumba, una mtu huko unisaidie 😭😭😭
Sawa ila naamini sio kweli naamini upo kwenye ndoa yako sasa unataka uwadanganye watoto wa kike wasibidalike but mtoa mada ameongea ukweli mchungu kama unapokutana mbegu ya limao kwenye dagaa ukiwa unakula ugali ukaitafuna kwa bahati mbaya UKWELI MCHUNGU
 
upgrade your levels bro. Mwanamke kama una nia nae 10k sio ishu ya kumkazia. Actually ilipasa umpe hiyo pesa, ili awe assured kua ana mwanaume ambae anaweza kumjali anapokua amekwama. Labda kama angeomba milioni au malaki kadhaa ndio ungemkaushia. Lakini 10k!!! Dah! Jitafute bro.

Then, jenga desturi ya kumhudumia mwanamke wako kutokana na mahitaji yake ya muhimu bila yeye kukuomba, cha msingi usivuke kiwango. Baada ya hapo anza kumbania sasa, ili ajue kuna kupata na kukosa huku ukiwa unatest uvumilivu wake.

Unaweza kujikuta unakosa 'wife material' kwa vitu vidogo mno. Kumbuka kizazi chetu ni tofauti na wazee wetu. Tupo katika totally a very different generation with different priorities!!!
True
 
Mm sielewag why mtu unapata nafasi ya kumsema ntu hajaolewa/oa, au kusikitika kisa hujaoa/olewa as if hayo ni mafanikio makubwa, br kuoa au kuolewa ni easy tu, hadi machizi wanaoa na kuolewa, sio big deal kabisa
Kama ulipatikana kweny ndoa jamii inakutaka uoe pia ....au na ww ulilelewa kwny single parenting?
 
Kila mmoja ana style yake kwenye fani hii ya ombaomba
 
Attachments

  • Screenshot_20240330-074902_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20240330-074902_WhatsApp.jpg
    220.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240330-073505_Messenger.jpg
    Screenshot_20240330-073505_Messenger.jpg
    105.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240330-073737_Messages.jpg
    Screenshot_20240330-073737_Messages.jpg
    120.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240330-073927_Messages.jpg
    Screenshot_20240330-073927_Messages.jpg
    147.2 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240330-074036_Messages.jpg
    Screenshot_20240330-074036_Messages.jpg
    137.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240330-074248_Instagram.jpg
    Screenshot_20240330-074248_Instagram.jpg
    146.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240330-074902_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20240330-074902_WhatsApp.jpg
    220.7 KB · Views: 2
upgrade your levels bro. Mwanamke kama una nia nae 10k sio ishu ya kumkazia. Actually ilipasa umpe hiyo pesa, ili awe assured kua ana mwanaume ambae anaweza kumjali anapokua amekwama. Labda kama angeomba milioni au malaki kadhaa ndio ungemkaushia. Lakini 10k!!! Dah! Jitafute bro.

Then, jenga desturi ya kumhudumia mwanamke wako kutokana na mahitaji yake ya muhimu bila yeye kukuomba, cha msingi usivuke kiwango. Baada ya hapo anza kumbania sasa, ili ajue kuna kupata na kukosa huku ukiwa unatest uvumilivu wake.

Unaweza kujikuta unakosa 'wife material' kwa vitu vidogo mno. Kumbuka kizazi chetu ni tofauti na wazee wetu. Tupo katika totally a very different generation with different priorities!!!
Tatizo sio kuomba 10k, issue ni muda! Yaani saa 5 atoe namba, saa 10 nipige simu ya kwanza baada ya salamu tu aniombe hela? Hii haipo sawa mkuu!
 
Kama ulipatikana kweny ndoa jamii inakutaka uoe pia ....au na ww ulilelewa kwny single parenting?
Mkuu mimi sijawahi walazimisha watu waoane, walioana kwa plan zao, so I am not responsible kwa maamuzi yao, and mimi nitaendelezaje kizazi au nikiamua kukata kizazi, ni uamuzi wangu, sio kisa kuna watu walikaa wakaamua kuoana so na mm nioe 😂
 
Nimekupata bro,

Ila mm ni muhanga nilikuwa namuhudumia mwanamke ambaye anampenda mwanaume mwingine lkn huyo mwanaume mwingine yy Hana mda nae.

Unajuwa ilikuwaje...

2015 nilikuwa kidato Cha 3, lkn nilikuwa the best kwenye masomo yangu hasa Mathematics, hivyo nilikuwa nafundisha wanafunzi wenzangu wengi ikiwemo na yy tena yy nilikuwa namfundisha kwa nguvu kubwa sana, sometimes nilikuwa nakwambia kuwa nampenda kipindi hicho.

2016 nilimaliza kidato Cha nne nikatoka Moshi kwenda arusha kukimbiza harakati za hapa na pale nikisubiri majibu ya 4m4 nikawa nawasiliana na yy kupitia cm ya mama yake hata alipokuja kuwa na simu nimeishi kumsihi nampenda lkn naambulia patupu.

Tangu kipindi hicho adi mwaka huu mwez wa pili mwishoni nimekuwa nafukuzia bila mafanikio. Amekuwa akiumwa nagharamia mm, akiwa na shida yoyote napambana nayo, nememununulia simu, kiujumla gharama alizokula kwangu ni Kama 1.5 hivi, Ila dakika za mwisho amekuja kunichana kuwa anajaribu kunipenda Ila anashindwa kunajamaa anampenda lkn huyo jamaa hampi nafasi na washakuwa kwenye mahusiano Ila kwa Sasa haelewi

Embu ona bro ukipitia hayo unaeza mpa mwanamke hata vocha ya buku kweli?

Hapo Ana mika 25 Sasa, anasubiri umri uende aote kitambi ndo anitafute

Siwezi mptumia mwanamke hata 500
Kuna watu wanajifanya wanajua sana kutoa advise wakati hawajui umepitia nini. Mara nyingi ukiona mtu anapambana kuexpress jambo fulani hiyo ni dalili kuwa huyo mtu amepitia magumu ya hicho kitu.
 
Back
Top Bottom