Wanawake wanajisababishia wenyewe kutokuolewa

Wanawake wanajisababishia wenyewe kutokuolewa

Mkuu hii thread yako tuu kuna majibu ya wanawake hapa naona tayari wako na hasira sana. Thread umetoa wewe ila wao ndiyo wana hasira ya kufa mtu, mara kuolewa kwani lazima mfano majibu ya Demi na Evelyn Salt
Kama hamjapenda huu uzi au hamna cha kuchangia kaeni kimya ma siyo kumponda jamaa na uzi wake, mnaonesha kabisa mna hasira na majibu ya kijinga.
Nani amekwambia tuna hasira? Sio hasira ni mshangao
 
Ndoa ni baraka nasema hivyo Mana unapata mtu wakati ni binti unamtafuta yupo bize na mambo yakidunia... Lkn mwisho wasiku akisha choka na kuzalishwa kashapata kitambi anataka aje atulie na ww,. Kwa kuwa anaona walio olewa mapema wametulia kwenye ndoa zao
Kweli ndoa ni baraka.
Na wala sio jambo gumu kuipata hiyo ndoa kama ukitaka.
Mshangao ni kwamba hao mnaowaonea huruma wenyewe wala hawajionei huruma wala kulalanika sana kama ambavyo nyie mnalalamika kwa niaba yao. Ndoa sio kwa kila mtu...wengine iwapite.
 
Me ninavyojua kwa dunia ya sasa sidhani kama wanawake wanataka ndoa ila Nafikiri wanataka soko na wateja wengi... Maana wanataka kuwa financial secured & independent ndo maana wengi wao kwa sasa wana-focus kujitengenezea mionekano chambo ya kunasia samaki wajichukulie vibunda vyao kwa wajinga kisha wakaishi zao vizuri... Na ndo maana pia single mama life style imetaradadi now days... This is because kuishi nae sio muhimu sana kwake kuliko unacho-produce.
 
Hao wanawake wasikate tamaa hatuoi mwili tunaoa personality na akili. Mke bora sio mdogo au binti , mke bora ni yuke anaempunguzia stress mumewe katika safari yake ya kupambana. Nilishawahi kuacha mwanamke kwa sababu hanywi pombe kabisa. Watanzania tusikariri maisha, cha kufanya ni mwanamke ajiongezee thamani. Mwanamke mwenye thamani hata miaka 50 hatofikisha bila kuolewa.
Wadogo zangu kuna kigezo muhimu hapa kimewekwa siku hizi, mshindwe nyie tu tushone sare, tuwacheze...
Darlin Lenie Depal
 
Back
Top Bottom