Wanawake wanajisababishia wenyewe kutokuolewa

Wanawake wanajisababishia wenyewe kutokuolewa

Mwanamke myenye miaka 27+ na hajaolewa wanakuwaga na stress Sana, Kuna baadhi nawaonaga niliskuli nao na wengine tulikuliaga kitaa kimoja Wana waza Sana kiasi kwamba nawaonea huruma, zifuatazo ni sababu kadhaa zinazosababisha wadada kuto kuolewa mapema:-

KURINGA
Hapa unapata boy anamtafuta binti lkni binti anaaleta machejo, anamtumia text haujibu Whatsapp Ana blue tick anakausha, Yani namba Yako anakuwa kaisev kuongeza Bowers status.

OMBAOMBA
Hii acha niwaelezee kimfano kabisa, hivi karibuni nilikutana na mdada mumoja mkali Sana nikachukuwa namba tukawa tunawasiliana nikatupia ndoano akanasa lkn kabla hatujaonana Mara ya pili ndo kwanza tuna siku tatu tuu eti mdada ananiomba nimkopeshe 10k, niliposema Sina akapotea haujibu text tena Wala kupokea simu. Baada Kama ya siku tatu Nika deshi nataka namba ya kumtumia akajibu nilipiga chini sikuwa na msalie mtume.

Embu eleza na ww sababuunazo zijuwa zinazofanya wadada wachelewe kuolewa pindi ukisoma thread hii, nikisema nizimalize zote ntakuwa sijafanya powa elezea kinaga ubaga ili tusaidie wadada wetu mitaani. Maana unakuta mdada was 1995 hajaolewa mtoto wa 2000 kaolewa ni aibu na lazima spare stress.
Hakuna cha kuwasaidia acha waendelee kutoolewa tu kwa upumbavu wao,
 
Mkuu hii thread yako tuu kuna majibu ya wanawake hapa naona tayari wako na hasira sana. Thread umetoa wewe ila wao ndiyo wana hasira ya kufa mtu, mara kuolewa kwani lazima mfano majibu ya Demi na Evelyn Salt
Kama hamjapenda huu uzi au hamna cha kuchangia kaeni kimya ma siyo kumponda jamaa na uzi wake, mnaonesha kabisa mna hasira na majibu ya kijinga.
Kweli na naona ni wahanga pia
 
OMBAOMBA
Hii acha niwaelezee kimfano kabisa, hivi karibuni nilikutana na mdada mumoja mkali Sana nikachukuwa namba tukawa tunawasiliana nikatupia ndoano akanasa lkn kabla hatujaonana Mara ya pili ndo kwanza tuna siku tatu tuu eti mdada ananiomba nimkopeshe 10k, niliposema Sina akapotea haujibu text tena Wala kupokea simu. Baada Kama ya siku tatu Nika deshi nataka namba ya kumtumia akajibu nilipiga chini sikuwa na msalie mtume.
Ninaye wa hivi anataka nimuoe. Ameanza kuzeeka sasa na mimi ndio kwanza nakuwa mpya.

Enzi hizo mimi sina hela ila yeye anataka kunipiga vibomu tu. Nikimwambia sina simu yake ananiblock mimi kwa ushamba wangu nikawa napiga simu hadi asubuhi nikidhabi yuko bize baadae atapokea tu.

Aisew niliteseka sana kama niko Msalabani.
 
Nyie wenyewe ndoa mnaiogopa mnasema "kataa ndoa"..... alafu mnarudi kusema hawaolewi... Sasa kama waoaji hawajiamini wafanyaje...
Nao wapo bize wana pambania ndoto zao siku mkijiamini mtaoa na sio kusema eti hawaolewi.
Ni asilimia chache ya wanaume ndio hukataa ndoa... Na hiyo inatokana na matukio walio kutana nayo kwenye mahusiano
 
Back
Top Bottom